Pre GE2025 Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Misukule ya Sultan Mbowe mnahangaika sana lakini kipigo kiko pale pale.
Hahaha mimi naamini mtahama chama mwende atakako kwenda Mtukufu Lisu.

Shujaa anayejua kujenga hoja lakini wafuasi wake hamtaki UCHAGUZI, manataka aachiwe, apishwe, ili apite bila kupingwa.

Hakuna huruma, uchaguzi ni lazima ufanyike.

Team wema mna kazi kweli mwakani.
 
Chadema siyo mali ya Mbowe tutabanana humo humo. Kila mwanachama ana mchango wake. Na wewe utakuwa mccm hakuna mwanachadema anayeombea watu waondoke Chadema mtaji wa chama ni watu wanaokiunga mkono.
 
Nyie mmejiunga juzi ndio mna kelele sana, sisi tulikuwepo tangu enzi za kale. Nyie manjifunza siasa mnaleta mihemko. Mchango gani mmmeweka Chadema nyie zaidi ya kupiga kelele?

Uchaguzi ni mchakato, mgekuwa mnajielewa mgefanya kampeni, kisha mkaacha wajumbe watuchagulie mwenyekiti.
Nyei mnakuja na mihemko kwamba lazima Lisu, ashinde. Ulazima huo unatoka wapi?

Akishindwa basi chadema ife, halafu mnajiita chadema, kwa akili gani?

Aachiwi, na hapishwi, agombee. Akishinda sawa na akishindwa sawa.

Akitaka kubaki sawa akitaka kwenda na aende.
 
Nyie mmejiunga juzi ndio mna kelele sana, sisi tulikuwepo tangu enzi za kale. Nyie manjifunza siasa mnaleta mihemko. Mchango gani mmmeweka Chadema nyie zaidi ya kupiga kelele?

Uchaguzi ni mchakato, mgekuwa mnajielewa mgefanya kampeni, kisha mkaacha wajumbe watuchagulie mwenyekiti.
Nyei mnakuja na mihemko kwamba lazima Lisu, ashinde. Ulazima huo unatoka wapi?

Akishindwa basi chadema ife, halafu mnajiita chadema, kwa akili gani?

Aachiwi, na hapishwi, agombee. Akishinda sawa na akishindwa sana. akitaka kubaki sawa akitaka kwenda na aende.
Wewe ndiye mgeni kwenye hiki cham. Kwani nani wameanza fujo? Nyie watu wa Mbowe ndiyo mumeanza kumtukana na kumkashifu Lissu mara tu alipotangaza nia ya kugombea ad if ni taboo kwa mtu mwingine nje ya Mbowe kugombea nafasi hiyo. Toka mwanzoni tuliwaambia kuwa wacheni demokrasia ichukue mkondo wake lakini mkazidisha matusi kwa Lissu huku Mbowe akiwa kimya kuashiria kuwa ndiye anawatuma kumtukana Lissu sasa Lissu akijibu mapigo mnaanza kuoiga mayowe. Kama mna uhakika Mbowe anakubalika kwa wapiga kura kwa nini msitulie ili Lissu akaambulie patupu kwenye sanduku la kura? Kwanini mnamuogopa Lissu?
 
Maccm mnahangaika!
 
Maccm mnahangaika!
Umeona eh,huyo ni mccm maana ukiona mtu wish yake ni kuwa Lissu na wafuasi wake waondoke Chadema unaelewa kabisa kuwa huyo ni adui wa Chadema, siku zote mtaji wa chama ni wanachama sasa huyo anayetaka waondoke unaweza ukaelewa kuwa ni wa upande ule na ndiyo wengi wanaomuunga mkono Mbowe kinafiki ili kuchochea mgawanyiko. Haya mambo ya kampeni ndiyo yalivyo watu wanaparurana lakini mwisho wa siku wanaluwa kitu kimoja.
 
Wewe ndiye mgeni kwenye hiki cham. Kwani nani wameanza fujo? Nyie watu wa Mbowe ndiyo mumeanza kumtukana na kumkashifu Lissu mara tu alipotangaza nia ya kugombea ad if ni taboo kwa mtu mwingine nje ya Mbowe kugombea nafasi hiyo. Toka mwanzoni tuliwaambia kuwa wacheni demokrasia ichukue mkondo wake lakini mkazidisha matusi kwa Lissu huku Mbowe akiwa kimya kuashiria kuwa ndiye anawatuma kumtukana Lissu sasa Lissu akijibu mapigo mnaanza kuoiga mayowe. Kama mna uhakika Mbowe anakubalika kwa wapiga kura kwa nini msitulie ili Lissu akaambulie patupu kwenye sanduku la kura? Kwanini mnamuogopa Lissu?
Hahah wafuasi wa Lisu ndio mnamatusi ndani ya chadema, maana wote watoto wa juzi tu hapa mnajiona mnajuua.

We angalia ni Nyuzi ngapi humu mmefungua kumtukana mwenyekiti Mbowe.

Mara Hana jipya, Mara hatufai, mara kalamba asali, mara ni mtu wa system, mara ni mtu wa CCM, mara hana elimu, Mara DJ. Mlivamia JF kama nyuki, Kule X mlitawala nyie, na magroup ya WhatsApp ndio usiseme mkiungwa mkono na CCM, madai yenu eti Mbowe HANA JIPYA, hawezi kutuvusha, Amwachie Lisu inatosha.

Mimi niliwaambia tangu siku ya kwanza, Lisu alichukua fomu KUGOMBEA, lakini watu hawakutaka Mbowe agombee walitaka aachie ngazi, ampishe Lisu, nikauliza Kwanini Mgombea Mahiri kama Lisu aachiwe badala ya kugombea na mgombea mnayemuita dhaifu, asiyejua kujenga hoja, mla rushwa? Oh miaka 20 inatosha.

Juzi Wakili Madereka anasema Lisu asipochaguliwa basi Chadema IFE, Yani wakili mtetea haki anasema hayo, Kambole naye humo humo na wengine wengi kina adv.Heche na wengine.

Sasa kama hamtaki uchaguzi anzisheni chama chenu.

Lisu haogopwi, Mpayukaji tu kila kukicha na hana jipya, kapiga kelele kwenye vyombo vya habari, huko Club House, Twiter, WhatsApp na bado humu mnapiga kelele kama watoto, aogopwe kwa Lipi?

Mbowe kachukuwa fomu kakaa kimya, alichosema tukutane kwa box basi.

Lisu Kuchukuwa fomu kelele, kurudisha kelele, Mara avae Bullet proof, mara sijui hawezi kula kwa mbowe, inatusaidia nini sisi?
 
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Tundu Lissu aliyegombea urais mwaka 2020 leo tunaambiwa kofia ya uongozi wa juu wa CHADEMA haimuenei!!.

Aliweza kuaminiwa akawa mgombea wa urais leo kina Yericko Nyerere wanakuja na makala za ukubwa wa magazeti wakiuambia umma kwamba hatoshi kuongoza chama ngazi ya taifa!.

Siasa za hiki chama zimejaa mauzauza mengi yasiyoandikwa kwenye vyombo vya habari.
 
Kama kuna wanachama wa CHADEMA wanataka kuchallenge uongozi wa Mbowe, kihalali, kwenye uchaguzi wa ndani, kwa nini unawalazimisha waende ACT?

Nilikuwa nawasema vibaya sana wanaharakati wa mitandaoni ambao si wanachama wa CHADEMA waliokuwa wanamkataa Mbowe kwa kusema "Mbowe Must Go". Hoja yangu kubwa ilikuwa kwamba wanaharakati hao hawana uhalali wa kutaka kumuondoa Mbowe kwenye uenyekiti, kwa sababu hawana hata uanachama (majority). Hatujui kama wao ni washabiki wa CHADEMA kweli au ni mapandikizi ya CCM yanayotaka kuivuruga CHADEMA. Mambo ya CHADEMA, waachiwe wanachama halali wa CHADEMA kuamua.

Kauli yangu hii haikuwa endorsement kwa Mbowe. Ilikuwa kanuni ya kwamba watu wasio wanachama hawana kauli kwenye mambo ya chama.

Baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa CHADEMA, criticism hii haipo tena. Kwa sababu sasa wanaotaka kumuondoa Mbowe si wanaharakati tu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA naye anataka kumuondoa Mbowe kwenye uenyekiti.

Sasa wewe ni nani umwambie Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, anayetumia haki yake ya kikatiba ndani ya CHADEMA kugombea uongozi, hana haki ya kuwania uenyekiti?

Unatumia kanuni gani kumkataza Lissu kuwania uenyekiti wa CHADEMA?
CCM inaweza kuonekana ni chama chenye kujua kuiweka kwenye michakato ile mizengwe mikubwa ya ngazi ya uongozi lakini angalau wanao mfumo wanaourithi kutoka kwa waanzilishi wa chama.

Kwenye kuiweka kivitendo demokrasia halisi bado CHADEMA ina mengi ya kufanyia kazi.
 
Tundu Lissu aliyegombea urais mwaka 2020 leo tunaambiwa kofia ya uongozi wa juu wa CHADEMA haimuenei!!.

Aliweza kuaminiwa akawa mgombea wa urais leo kina Yericko Nyerere wanakuja na makala za ukubwa wa magazeti wakiuambia umma kwamba hatoshi kuongoza chama ngazi ya taifa!.

Siasa za hiki chama zimejaa mauzauza mengi yasiyoandikwa kwenye vyombo vya habari.
Siku hazigandi mtu anaweza kubadilika inawezekana leo unajiuliza. huyu sio mke niliyemuoa miaka 10 iliyopita.
 
Kuna maslahi makubwa ya kibinafsi anayoyapata Mbowe kwa kushikilia nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA.

Pia kuna nguvu ya kutoka CCM inayohakikisha anaendelea na wadhifa huo, Lissu na kundi lake walishaamini kwamba ameshakomaa kuwa mgombea wa urais wa 2025 na anayo haki ya kuamini hivyo yeye binafsi.

Mtihani kwa Brother Lissu ni ule ukweli kwamba uenyekiti ni mkate wa kila siku wa Freeman Mbowe.
 
Hahah wafuasi wa Lisu ndio mnamatusi ndani ya chadema, maana wote watoto wa juzi tu hapa mnajiona mnajuua.

We angalia ni Nyuzi ngapi humu mmefungua kumtukana mwenyekiti Mbowe.

Mara Hana jipya, Mara hatufai, mara kalamba asali, mara ni mtu wa system, mara ni mtu wa CCM, mara hana elimu, Mara DJ. Mlivamia JF kama nyuki, Kule X mlitawala nyie, na magroup ya WhatsApp ndio usiseme mkiungwa mkono na CCM, madai yenu eti Mbowe HANA JIPYA, hawezi kutuvusha, Amwachie Lisu inatosha.

Mimi niliwaambia tangu siku ya kwanza, Lisu alichukua fomu KUGOMBEA, lakini watu hawakutaka Mbowe agombee walitaka aachie ngazi, ampishe Lisu, nikauliza Kwanini Mgombea Mahiri kama Lisu aachiwe badala ya kugombea na mgombea mnayemuita dhaifu, asiyejua kujenga hoja, mla rushwa? Oh miaka 20 inatosha.

Juzi Wakili Madereka anasema Lisu asipochaguliwa basi Chadema IFE, Yani wakili mtetea haki anasema hayo, Kambole naye humo humo na wengine wengi kina adv.Heche na wengine.

Sasa kama hamtaki uchaguzi anzisheni chama chenu.

Lisu haogopwi, Mpayukaji tu kila kukicha na hana jipya, kapiga kelele kwenye vyombo vya habari, huko Club House, Twiter, WhatsApp na bado humu mnapiga kelele kama watoto, aogopwe kwa Lipi?

Mbowe kachukuwa fomu kakaa kimya, alichosema tukutane kwa box basi.

Lisu Kuchukuwa fomu kelele, kurudisha kelele, Mara avae Bullet proof, mara sijui hawezi kula kwa mbowe, inatusaidia nini sisi?
Hizi tambo zote mwisho 21 January 2025.
 
Back
Top Bottom