Mbunge awachana bungeni wanaodai hajaolewa

Niwa chama gani
 
Tatizo ni bunge refu mpaka hutafuta hoja za kutafuta
.lingekuwa fupi wasingekuwa na muda huo
 
Magufuli alituweza kweli kutujazia vilaza na makahaba ndani ya Bunge,
Hili lingekuwa bunge la Magufuli lingekuwa limekufa mara tu baada ya Magufuli kufa.

Tamka bila uoga, hili ni bunge la CCM na ni bunge pendwa la mama Abdul lipo kwa maslahi ya wezi na mafisadi na sio kwa maslahi ya wananchi.
 
Sasa nani aliyemwambia hajaolewa hata kumjua hatumjui..

Hii tabia ya kutengeneza na kubuni Hoja binafsi na kuzitetea "Paranoia" Ili kupata publicity ni Ya kijinga sana..
Tubadilike unaweza kufanya kitu kizuri zaidi ya huu ukosefu wa Hoja Bungeni (UHoBu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…