Mbunge Luhaga Mpina amuunga mkono Rais Samia kuwabana Mawaziri

Bunge la Bajeti limeanza, nimejiandaa vizuri nitaweka wazi baadhi ya hoja ngumu ikiwemo kuchelewa bwawa la umeme, kukatikakatika kwa umeme, kupanda bei za bidhaa, kuchafuka kwa Mto mara. Tutayasema yote bila kumwogopa mtu, vitisho kutoka kokote- Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa.
Mmoja kati ya wabunge wenye akili nyingi sana,na kipenzi cha hayati Magufuli.
 
Bunge la Bajeti limeanza, nimejiandaa vizuri nitaweka wazi baadhi ya hoja ngumu ikiwemo kuchelewa bwawa la umeme, kukatikakatika kwa umeme, kupanda bei za bidhaa, kuchafuka kwa Mto mara. Tutayasema yote bila kumwogopa mtu, vitisho kutoka kokote- Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa.

Nakazia: Tuungane kukataa wahuni.
 
haka kajamaa haka ka luhanga mpina ni ka 'chizi maarifa' flani na kuna wakati hata mwendazake alikuwa ana ka admire sana
 
Bunge la Bajeti limeanza, nimejiandaa vizuri nitaweka wazi baadhi ya hoja ngumu ikiwemo kuchelewa bwawa la umeme, kukatikakatika kwa umeme, kupanda bei za bidhaa, kuchafuka kwa Mto mara. Tutayasema yote bila kumuogopa mtu, vitisho kutoka kokote- Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa.
Wewe luhaga,ni nani wa kukutisha useless man kama wewe?
 
Bunge la Bajeti limeanza, nimejiandaa vizuri nitaweka wazi baadhi ya hoja ngumu ikiwemo kuchelewa bwawa la umeme, kukatikakatika kwa umeme, kupanda bei za bidhaa, kuchafuka kwa Mto mara. Tutayasema yote bila kumuogopa mtu, vitisho kutoka kokote- Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa.
Safi kamanda msikubali kuwa wanyonge kwa faida ya wachache wakati mlifunzwa ujasili kuweni majasili kila la kheri
 
Mldg1.jpeg
👇🐒🐒🐒
 
Back
Top Bottom