Mbunge Luhaga Mpina amuunga mkono Rais Samia kuwabana Mawaziri

Politicians ni kama toilet paper [emoji3474] tu
Utatumika unapohitajika baada ya hapo tuna flash
Na huyu tumpe mda tu maana huwa hawaongea kwa wanayoamini bali wanatumwa
 
Bunge la Bajeti limeanza, nimejiandaa vizuri nitaweka wazi baadhi ya hoja ngumu ikiwemo kuchelewa bwawa la umeme, kukatikakatika kwa umeme, kupanda bei za bidhaa, kuchafuka kwa Mto mara. Tutayasema yote bila kumuogopa mtu, vitisho kutoka kokote- Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa.
Ataishia kubweka tu ila meno ya kuuma hana.
 
Bunge la Bajeti limeanza, nimejiandaa vizuri nitaweka wazi baadhi ya hoja ngumu ikiwemo kuchelewa bwawa la umeme, kukatikakatika kwa umeme, kupanda bei za bidhaa, kuchafuka kwa Mto mara. Tutayasema yote bila kumuogopa mtu, vitisho kutoka kokote- Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa.
Ndugu Quinine , kayasemea wapi hayo!!??
Ni vyema ingeambatanishwa na audio au kipande cha video akiyasema hayo.
cc: bagamoyo .
 
Hatimae wanaweza kuongea bila kuogopa na sio kusifu na kuabudu.
Charuaneni hivyo hivyo kenge nyie.
 
Ni vizuri Sana lakini Luhaga nae anatakiwa achunguzwe kwa madhira aliyoyafanya akiwa waziri wa mifugo na uvuvi kipindi Cha JPM.Kwenye opalesheni ya kukomesha uvuvi haramu aliumiza Sana watu hadi wengine kuuwawa .Wavuvu walikua hadi wanapigwa risasi halikadhalika wafungaji.
Pia opalesheni yenyewe iligubikwa na rushwa kubwa Sana na maafisa wote walioshiliki wamekua matajili.
Kama kweli yeye anaona yupo sahihi basi na yeye ashitakiwe kwa kuhujumu uchumi kwa Sababu ni kupitia Hilo zoezi Mpina Kawa bilionea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi hoja mpaka aanzishe hoja zake ndio ziiubuliwe.
 
Bunge la Bajeti limeanza, nimejiandaa vizuri nitaweka wazi baadhi ya hoja ngumu ikiwemo kuchelewa bwawa la umeme, kukatikakatika kwa umeme, kupanda bei za bidhaa, kuchafuka kwa Mto mara. Tutayasema yote bila kumuogopa mtu, vitisho kutoka kokote- Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa.
Si mpaka apewe hiyo nafasi
 
Back
Top Bottom