Baadae itakuwa Kuingia Mkoa mmoja kwenda mwingine itatakiwa passport kama hoja Watu wa Bara wanapora viwanja na kujenga majumba.
 
Kwani mama yao anayeung'ang'ania Urais wa Tanganyika anasemaje!?
 
🤔🤔
 
Kwanini wasiombe tu muungano uvunjwe.
Tanzania ni Moja ila Tabia ndo zinatofautiana kulingana na Kabila, Koo na Watu Flani. Ukijumlisha Idadi ya Wazanzibar walioko Bara wanaomiliki nyumba kama Watanzania, Wanamiliki leseni za Biashara kama Watanznia, Wanamiliki NIDA, Wameoa na kuolewa kama Watanznia.

Na Makadilio ya Watu wa hukoooo waliopo bara ni Milioni 8 na wanaoishi Zenji ni Milioni 2-3 wakiwemo Wanyamwezi. Inamaana Hao ikitokea kila mtu akajenge kwa Baba yake kama Majitu wivyowabinafsi ninaamini Chumba kimoja Wataishi 20 ili kujihifadhi.

Nb: Huu ujinga wa Tanzania bara na Tanzania Visiwani kubishana bishana unafanywa na Wajukuu wa Masulutani hawakufurahi kufurumushwa.

Lakini hakuna Mtanzania anayehoji muungano maana kila mtu anajua raha za Muungano kiusalama na kiuchumi. Naunga Mkono hoja wenye kauli za Hovyo Warudishwe kwa Wajomba zao.

Kiukweli huuu Muungano ni Muhimu Sanaa tuache kudanganyana.

Siyeeeee tumeupenda hivyooooo
 
Mbunge mjinga huyu na bado akili yake bado ya kipuuzi sana.
 
Mimi sidhani kama kuna haja ya hiyo passport. Shida hakuna mpango miji, kila sehemu ukitaka kujenga mwisho wa siku watu watakata tuu miti na misitu ili kujenga, ishu hapo Zanzibar yale maghorofa aliyojenga karume kipindi kile basi yalitakiwa kuendelezwa hiyo hivyo, shida wameacha jenga nyumba za kwenda juu wameruhusu watu watambae na kujenga sehemu yoyote ile. Shida zao wala urojo wanataka kuleta mpaka kwa watu wengime wasiyo husika.
 
Pia WANOTOKA ZANZIBr kuja Bara wawe na passport .

Hili ninga sana
 
Mbunge WA CCM kama wewe,angesema haya maneno,ungepiga mokofi na vigele gele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…