Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti.
Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari,
Waitara amesema kuwa hapo awali walikubaliana na Serikali ya mkoa wa Mara juu ya zoezi hilo la uwekaji wa vigingi lakini cha kushangaza zoezi hilo limeanza sasa bila kumshirikisha mbunge wa jimbo hilo
Video kwa hisani ya Ngasa TV
Inasikitisha sana...