Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari
Mambo yameanza kunoga kwa wapinzani wa kweli na kuwa segemnege ndani ya CCM.

Tazameni Waitara anavyolia kama mdoli mbele ya wana habari.

Naona sasa mkoa wa Mara unaenda kurudi kwa wana Chadema na safari hii inawezekana tukachukua majimbo yote ya mkoa wa Mara.

Sijawahi kumkubali huyu jamaa sijui ni ile anavoongea kama ana kitu cha moto mdomoni?
 
Back
Top Bottom