binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Dadaaaa! 🤣Hahahhaa jamani jamani nacheka
mimi😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dadaaaa! 🤣Hahahhaa jamani jamani nacheka
mimi😆😆
Kakutwa na nini tena. ?
Huyu ndugu yake Musiba baada ya 2025 sijui ataishije
Akiwa naibu waziri alijisahau na alikuwa anajibu watu hovyo.
Ajinyongwe tujue jimbo liko wazi
he shed tearshe shaded tears
Asante nimerekebisha mkuuhe shed tears
Analia tena bila sababu...Kuvamia mbuga kama Serengeti halafu waachiwe? Mimi ntavamia Ngorongoro basi, ili kama noma na iwe nomaMara mmeanza mambo ya aibu sana, hili baba linadeka hadharani.
nyingineMambo yameanza kunoga kwa wapinzani wa kweli na kuwa segemnege ndani ya ccm.
Tazameni Waitara anavyolia kama mdoli mbele ya wana habari .
Naona sasa mkoa wa mara unaenda kurudi kwa wana cdm na safari hii inawezekana tukachukua majimbo yote ya mkoa wa mara.View attachment 2569197
Kaka hiyo ni moja ya mikakati ya hali ya juu ya John Heche.Mara mmeanza mambo ya aibu sana, hili baba linadeka hadharani.