Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari
Alilewa tu... Nawaza ilikuaje Jiwe akampa uwaziri ... Hata akiwa MB wa cdm alikua ni hopeless tu yeye na pombe pombe na yeye...
 
Alilewa tu... Nawaza ilikuaje Jiwe akampa uwaziri ... Hata akiwa MB wa cdm alikua ni hopeless tu yeye na pombe pombe na yeye...
Jiwe alikuwa mbaguzi sana na ilipelelea achague viongozi kikanda hata kama hana sifa
 
Namfahamu sana Waitara. Hapo alikuwa anamwaga chozi kwasabb ya ulevi (he shed tears under alcohol influence) . Akishalewa Waitara huwa ndiyo zake kulialia.

Waandishi wa habari waliokuwepo wakiwa wakweli wanaweza kuthibitisha hili.
Nna kisa chake kimoja alikuwa amepiga mtungi kila nkikumbukaga
Nacheka sana

Ova
 
Poti huyo kapandwa na mori, kama ana panga karibu hapo asisogee mtu aisee....
 
Mkuu wa mkoa alisemaga wabunge hawaendaji kwenye vikao.
Huwa wanatumaga tu wawakilishi, kwahiyo akamuulize muwakilishi aliyekuwa anamtumaga wakati yeye akiwa bize
 
Alikuwa Rais wa UDSM
Kuwa rais wa udsm sio hoja.. kipindi hicho viranja wa vyuo walikua wa kawaida tu... ni sawa na monitor au kaka mkuu.. unajipendekezaaa na unakuta kila mtu hahitaji uongoz ukute na kipindi hicho udoso fee haikuepo so sio ajab
 
Back
Top Bottom