Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari
02 April 2023
Kijiji cha Nyanungu
Tarime Vijijini, Tanzania

SABABU ZA MBUNGE WAITARA KULIA MBELE YA VYOMBO VYA HABARI AWEKA WAZI



Afanya mkutano na wananchi kuwaelezea kuhusu kutotambua beacon zilizowekwa.

Mbunge Mwita Waitara atangaza kuanzisha mgogoro na serikali kwa ajili ya kuitafuta haki ya wananchi wa vijiji na vitongoji vilivyoathiriwa kwa kuwa wananchi hawajashirikishwa uwekaji beacons kuonesha maeneo
 
02 April 2023

KIJIJI CHA NYANUNGU, TARIME VIJIJINI

"WANANCHI NYANUNGU LIMENI MASHAMBA YENU,MIMI SIZITAMBUI BIKONI ZILIZOWEKWA" MHE. MWITA WAITARA

 
Mwalimu mwita alishika nafasi kubwa serikalini.

Historia yake ilianzia upinzani akahamia ccm sijui kama amerejea.

Naomba kujua kilichokuwa kina mliza mbele ya camera.

Alikuwa analia, sio anakia

Asante
 
To every great fortune there's crime behind it
 
Back
Top Bottom