Ndoto za mchana. Sahau.Mambo yameanza kunoga kwa wapinzani wa kweli na kuwa segemnege ndani ya CCM.
Tazameni Waitara anavyolia kama mdoli mbele ya wana habari.
Naona sasa mkoa wa Mara unaenda kurudi kwa wana Chadema na safari hii inawezekana tukachukua majimbo yote ya mkoa wa Mara.