Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hapo alikua analia kwa nguvu za KonyagiNamfahamu sana Waitara. Hapo alikuwa anamwaga chozi kwasabb ya ulevi (he shaded tears under alcohol influence) . Akisha leo Waitara huwa ndiyo zake kulialia.
Waamdishi waliokuwepo wakiwa wakweli wanaweza kuthibitisha hili.
Ewaaaa! K-Vant zilikuwa zinampa maelekezoHapo alikua analia kwa nguvu za Konyagi
Unakuta hapo ametoka mnadani na ananuka nyama 😅Namfahamu sana Waitara. Hapo alikuwa anamwaga chozi kwasabb ya ulevi (he shaded tears under alcohol influence) . Akishalewa Waitara huwa ndiyo zake kulialia.
Waandishi wa habari waliokuwepo wakiwa wakweli wanaweza kuthibitisha hili.
mimi😆😆Unakuta hapo ametoka mnadani na ananuka nyama 😅
Mleta mada tuletee press nzima ilikua inahusu nini?