Mawazo gani? Yaani kwamba ukiwa masikni huwezi kuwa na misimamo yako? Yaani kumwambia spika kwamba anaweza kuondolewa ni mpaka uwe ha hela? Umepewa mfano wa Mtikila na MamaSamia2025 mfano halisi kabisa. Huku mitaani kwetu tuna watu tunawaheshimu kwa misimamo yao na wao wala si matajiri.
Tafuta Hansard kuna mtu alikuwa anaitwa Phares Kashemeza Kabuye aliyekuwa Mbunge wa Biharamulo. Huyu Mzee alipiga kampeni kwa Baiskeli na kushinda ubunge dhidi ya mpinzani wake aliyekuwa anatumia magari kufanya kampeni zake.
Alipokuwa bungeni michango yake iliheshimika na kukumbukwa mpaka leo. Kabuye alikufa kwenye ajali ya Basi wakati akielekea Dar es salaam. Hakuwa tajiri lakini alikuwa ni mtu mwenye misimamo thabiti.
Nyie msiojiamini kwa kusingizia kwamba hamjiamini kwa kuwa hamna hela, mnamkufuru Mungu ama mnamuonesha kwamba alikosea kuwaumba binadamu.
Huo ni mtizamo wako ila usijumuishe watu wote. Wengine na umaskini wetu lakini bado kama kuna jambo marafiki wetu matajiri na wenye vyeo wanafanya kinyume inavyotakiwa, tunawaambia tu bila ya hofu.Mtikila, Mrema, Mbatia ni kazi maalumu wale usiwalinganishe kwenye mambo ya msingi
Yes kama ww ni maskini uwez kuleta msimamo Kwa bosi wako
Kama ww ni maskini uwez kumwambia bosi hata ww tunaweza kukutoa
Halafu mbona hakuna cha ajabu alichosema Shabiby. Au kwa kuwa kasema mwenye hela ndiyo unaona kasema jambo la ajabu sana!! Unajua hoja za kumuondoa Lowassa zilianzishwa na nani?? Naye alikuwa Tajiri??Naona kijana unachanganya mada,
Hebu nambie Mbunge maskini ambae aliwahi kuongea kama alivyoongea shabiby Jana?
Tume ya Ajira wakitangaza nafasi za kazi mwanzoni wanaendesha usaili wa mchujo na matokeo wanatangaza kila aliyefanya matihani aaona maksi zake. Kimbembe kinakuja wale wanaoendelea na usaili wa mahojiano matokeo yake maksi haziwekwi hadharani ili kila mmoja ajue maksi alizopata ili alinganishe na namna alivyojibu maswali. Hapa ndipo watu wanapitishwa kwa kujuana. Hi limefanywa makusudi kwa sababu mtu anapojibu maswali anaelewa kabisa atapata maksi kati ya range fulani, hivyo maksi zikiwekwa hadharani Tume itaumbuka.Nepotism ni tatizo kubwa sana hapa nchini.
Kijana kama Huna connection elimu Yako inaweza kuwa mzigo wa majuto.
Nilikua natafuta comment kama hiiMtikila, Mrema, Mbatia ni kazi maalumu wale usiwalinganishe kwenye mambo ya msingi
Yes kama ww ni maskini uwez kuleta msimamo Kwa bosi wako
Kama ww ni maskini uwez kumwambia bosi hata ww tunaweza kukutoa
Wanawapotezea watu muda na fedha zao.Tume ya Ajira wakitangaza nafasi za kazi mwanzoni wanaendesha usaili wa mchujo na matokeo wanatangaza kila aliyefanya matihani aaona maksi zake. Kimbembe kinakuja wale wanaoendelea na usaili wa mahojiano matokeo yake maksi haziwekwi hadharani ili kila mmoja ajue maksi alizopata ili alinganishe na namna alivyojibu maswali. Hapa ndipo watu wanapitishwa kwa kujuana. Hi limefanywa makusudi kwa sababu mtu anapojibu maswali anaelewa kabisa atapata maksi kati ya range fulani, hivyo maksi zikiwekwa hadharani Tume itaumbuka.
Wabunge wadai maksi za kila mmoja za matokeo ya usaili wa mchujo yawekwe hadhatani sio kutoa majina tu ya waliofaulu pekee. Tuna uhakika gani hao ndio waliofaulu,
Tume ya Ajira iache kutapeli waombaji kazi.
Binafsi nitakuwa tofauti sana na wewe. Pesa huleta kujiamini. Na hili nadhani lipo kwenye jamii nyingi hadi nje ya Tanzania.Hizi ni fikra za kizamani sana. Nani kakwambia huwezi kuwa na msimamo bila ya kuwa na fedha?? Watanzania wengi wamekuwa dhaifu kimisimamo kwa kuwa na fikra kama hizi kwamba ili uwe huru ni lazima uwe na fedha.
Huyo Shabiby inawezekana katoa maneno hayo kutokana na mtizamo wake binafsi na wala si kwa hela alizonazo.
Umasikini wa nini ? Umasikini wa Fikra ? Ofcourse ukiwa na Umasikini wa Fikra unaweza ukatafuta legitimacy ya Pesa au jambo lolote lile... (According to Nyerere utatafuta legitimacy kwenye Udini, Ukanda au Ukabila)...,Umaskini unaleta kutojiamini.
Umemsahau Prof Kalamabudi
Kama ni kazi ya serikali. Kwa nini mbunge atoe ahadi ya kupeleka umeme?Ni kazi ya serikali
Huo ni mtizamo wako ila usijumuishe watu wote. Wengine na umaskini wetu lakini bado kama kuna jambo marafiki wetu matajiri na wenye vyeo wanafanya kinyume inavyotakiwa, tunawaambia tu bila ya hofu.
Halafu mbona hakuna cha ajabu alichosema Shabiby. Au kwa kuwa kasema mwenye hela ndiyo unaona kasema jambo la ajabu sana!! Unajua hoja za kumuondoa Lowassa zilianzishwa na nani?? Naye alikuwa Tajiri??
Halafu mbona hakuna cha ajabu alichosema Shabiby. Au kwa kuwa kasema mwenye hela ndiyo unaona kasema jambo la ajabu sana!! Unajua hoja za kumuondoa Lowassa zilianzishwa na nani?? Naye alikuwa Tajiri??
😅😅😅Kama ni kazi ya serikali. Kwa nini mbunge atoe ahadi ya kupeleka umeme?
CCM kwa uongo ni pipa na mfuniko
Nadhani ikifika hali hii viongozi wata acha wizi wa kijngaYes kasema Jambo la ajabu kuwa
Spika nae akileta siasa zake watamwambia kaa pembeni
Niambie na historia yako kiongozi gani aliwahi kutoboa kwa Wazungu mpaka leo. Zaidi ya kuwa na mawazo mazuri kisha kwenda kuwabembeleza wazungu wakuonee huruma kwa busara zako wakupe unachotaka lakini si kwa busara zako kuwagomea kwa asilimia mia moja ukabaki salama.nitajie wawili na tuanze kuwajadili nduguSasa Profesa Kabudi ni maskini??
Sijui mnasoma historia za wapi ndugu zangu. Dunia hii watu mashuhuri kwa misimamo wala si matajiri. Na Afrika tatizo letu si umaskini wa bara letu, bali tuna viongozi wenye fikra za kimaskini ambao wanadhani mali ndiyo huwajengea hadhi ya utu wao.
Matokeo yake viongozi wa Afrika wakiingia madarakani kazi yao kubwa huwa ni kuiba mali za umma na kujitajirisha wao na familia zao, wakidhani kwamba mali humpa mtu heshima. Ukikaa na matajiri wa dunia ndiyo utajua mali siyo inayompa mtu kujiamini.
Kama hujiamini kwa kuwa huna mali jua tatizo ni wewe kutokujua nguvu ya utu wako iko wapi!!
Usibishane na Wahenga waliosema '…Fukara hana kiapo …'Hizi ni fikra za kizamani sana. Nani kakwambia huwezi kuwa na msimamo bila ya kuwa na fedha?? Watanzania wengi wamekuwa dhaifu kimisimamo kwa kuwa na fikra kama hizi kwamba ili uwe huru ni lazima uwe na fedha.
Huyo Shabiby inawezekana katoa maneno hayo kutokana na mtizamo wake binafsi na wala si kwa hela alizonazo.
Hii ni misemo tu.Umasikini wa nini ? Umasikini wa Fikra ? Ofcourse ukiwa na Umasikini wa Fikra unaweza ukatafuta legitimacy ya Pesa au jambo lolote lile... (According to Nyerere utatafuta legitimacy kwenye Udini, Ukanda au Ukabila)...,
Kama una msimamo au kama unajua unachokisimamia hautayumbishwa na mtu yoyote...., Ingawa point yako labda useme mtu unayemtegemea akulishe ni vigumu kumpinga (lakini hapa ndani ya hii nchi kudhani mwanasiasa mwenzako au mtu pale serikalini ndio anakuweka duniani ni fikra potofu) and hence emancipation of mental slavery is needed...,
'I'd rather die like a man, than live like a coward' Why you might ask ?!!! Because a Coward dies a thousand Deaths...
Binafsi nitakuwa tofauti sana na wewe. Pesa huleta kujiamini. Na hili nadhani lipo kwenye jamii nyingi hadi nje ya Tanzania.
Unakuta Spika anakuwa anapata hofu Shabibu akiongea hivyo,
Well said.tofauti na mbunge asiye na hela.