Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tulia ni mbunge wa kubebwa na uspika wa kupewa kwenye sinia. Hana uwezo binafsi.Kwa nini shabiby asiwe ndiyo spika? Maana tulia ametulia kuibeba serikali badala ya kuisimamia.Wabunge wanaojiamini kwa sasa ni shabiby na mpina wengine ni chochote wanachoulizwa ni ndiyooooo
Ananogesha genge tu huyo AllenUsibishane na Wahenga waliosema 'β¦Fukara hana kiapo β¦'
unaweza ukaapa hutopanda madaladala wakati huna usafiri wa kukodi au binafsi?
Ukiwa na Pesa hata uwezo wa kujiamini unaongezeka
Umeisikiliza hotuba yake yoote ya dakika 9?Halafu mbona hakuna cha ajabu alichosema Shabiby. Au kwa kuwa kasema mwenye hela ndiyo unaona kasema jambo la ajabu sana!! Unajua hoja za kumuondoa Lowassa zilianzishwa na nani?? Naye alikuwa Tajiri??
HayupoNaona kijana unachanganya mada,
Hebu nambie Mbunge maskini ambae aliwahi kuongea kama alivyoongea shabiby Jana?
Si alianzia awamu ya tano?Bwana ngozi wa moro huyo!
Mutu ya mfumo hiyo !wale wa kwenda deep wanamjua huyo jamaa!!
Role yake kuja kwa awamu ya sita siyo ya mchezo!
Duh! Ndugu kwa huu mtazamo wako basi tutazidi kupigwa sana na wanasiasa. Na vijana wakifuata huu mtazamo wataishia tu kuolewa na wanaume wenzao wenye hela. Binafsi kama miaka 11 iliyopita niliacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya boss wangu kunipa kauli mbaya sana iliyomhusisha mzazi wangu. Hiyo kazi nilikuwa nalipwa Tsh 1.2m kwa mwezi, nyumba bure self contained yenye maji na umeme. Nikaenda kuanza upya kabisa nikawa mjasiriamali... baada ya miaka kadhaa nikawa napata pesa nyingi kuliko ule mshahara. Yule boss tunaheshimiana sana kwa sasa na nilisamehe baada ya yeye kukiri alikosea miaka ile. PLEASE JIAMINI.Mtikila, Mrema, Mbatia ni kazi maalumu wale usiwalinganishe kwenye mambo ya msingi
Yes kama ww ni maskini uwez kuleta msimamo Kwa bosi wako
Kama ww ni maskini uwez kumwambia bosi hata ww tunaweza kukutoa
π π πDhabibi ni jembe sio damu ya kibantu iliyojaa uoga
Ulikuwa unajiamini umeshachuma pesa ulizoenda kuanzisha biasharaDuh! Ndugu kwa huu mtazamo wako basi tutazidi kupigwa sana na wanasiasa. Na vijana wakifuata huu mtazamo wataishia tu kuolewa na wanaume wenzao wenye hela. Binafsi kama miaka 11 iliyopita niliacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya boss wangu kunipa kauli mbaya sana iliyomhusisha mzazi wangu. Hiyo kazi nilikuwa nalipwa Tsh 1.2m kwa mwezi, nyumba bure self contained yenye maji na umeme. Nikaenda kuanza upya kabisa nikawa mjasiriamali... baada ya miaka kadhaa nikawa napata pesa nyingi kuliko ule mshahara. Yule boss tunaheshimiana sana kwa sasa na nilisamehe baada ya yeye kukiri alikosea miaka ile. PLEASE JIAMINI.
Kwa hio unaoma yuko Serious?Mtu mwenye pesa,huwaga yuko real sana,hanaga unafiki kama baadhi ya maskini.
Duh! Ndugu kwa huu mtazamo wako basi tutazidi kupigwa sana na wanasiasa. Na vijana wakifuata huu mtazamo wataishia tu kuolewa na wanaume wenzao wenye hela. Binafsi kama miaka 11 iliyopita niliacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya boss wangu kunipa kauli mbaya sana iliyomhusisha mzazi wangu. Hiyo kazi nilikuwa nalipwa Tsh 1.2m kwa mwezi, nyumba bure self contained yenye maji na umeme. Nikaenda kuanza upya kabisa nikawa mjasiriamali... baada ya miaka kadhaa nikawa napata pesa nyingi kuliko ule mshahara. Yule boss tunaheshimiana sana kwa sasa na nilisamehe baada ya yeye kukiri alikosea miaka ile. PLEASE JIAMINI.
Hajakosea. Ndivyo inatakiwa iwe.Kwani kosa lake ni lipi hapo, kusema wanaweza kumuazimia ama?.
Tatizo la CCM huwa hampendi kukosoana...Full stop.
πππππKabudi ana msimamo gani?
Kabudi anaweza kumwambia Spika kama alivyoongea shabiby?
Kwahio wewe ukikosa pesa haujiamini ?Hii ni misemo tu.
Ukiwa na pesa huwa huogopi mtu.
Mkuu ni masikini wachache sana wenye msimamo na wanao jiamini.Hizi ni fikra za kizamani sana. Nani kakwambia huwezi kuwa na msimamo bila ya kuwa na fedha?? Watanzania wengi wamekuwa dhaifu kimisimamo kwa kuwa na fikra kama hizi kwamba ili uwe huru ni lazima uwe na fedha.
Huyo Shabiby inawezekana katoa maneno hayo kutokana na mtizamo wake binafsi na wala si kwa hela alizonazo.
Mtikila hakuwa kazi maalumu yoyote sema kuna Mawakili waliokuwa na ujasiri wa kwenda kumchomoa Mahakamani kwa dhamana.Mtikila, Mrema, Mbatia ni kazi maalumu wale usiwalinganishe kwenye mambo ya msingi
Yes kama ww ni maskini uwez kuleta msimamo Kwa bosi wako
Kama ww ni maskini uwez kumwambia bosi hata ww tunaweza kukutoa