Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

. Hata hivyo Nchimbi ni mtu hatari, tangia apate umakamu wa Rais amekuwa karibu sana na maaskofu wa RC, Pasaka alienda kuhiji Vatican, ni mdini. Halafu aache hotuba zenye utata, amekosa busara na hekima, mbn Dr. Mpango was very smart na ni mkatoliki mzuri sana. Nchimbi hajatulia halafu hata kuongea kwenyewe hawezi

unahoji Christian kwenda Vatikan na tena unamuita mdini? he is Christian kwa nini awe karibu na muslim? anajua mengi mlivyowafanyia Christians.

Christians will never forget …
 
Yuda iskariote atoke wapi kwenye serikali ya CCM?

Chama ni kimoja na hakina misigano, huo ni uzushi wa huyo mbunge anakigawa chama kionekane kina wasaliti
Wazanzibari ndiyo wenye chama na ndiyo maana amepata jeuri ya kumuita VP kuwa ni Yuda, hiyo ni dharau ya hali ya juu kwa nobody kama yeye kumtukana VP bungeni.
 
Upendo haupo kwetu sisi ndio tatizo lilipo,angalia Zanziber linapokuja suala la uzanziber hamna Kafu sisim au act woote lao moja. Salum Mwalim Jusa Omo unawasikia hii leo? Nchimbi jeshi la mtu mmoja hamna Kabudi wala nani, damu ya kiarabu upendo wao kwa wao. Njoo huku kwetu sasa utamkuta Lukasi Mshamba Kabudi Nape na wengine wengi.
Aibu yetu
 
1995 kikwete hakuwa deep state,leo ni deep state,deep state ni marais wastaafu,wakuu wa majeshi wastaafu na waliopo,wakurugenzi TISS wastaafu na waliopo,vigogo vya usalama vistaafu na vilivyopo ambavyo huvijui
Plus baadhi ya wafanya Biashara wakubwa na wenye ushawishi,hata baadhi ya viongozi fulani wa dini
 

Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said, amesema mafanikio ya Serikali katika ukusanyaji wa mapato yanaonyesha kuwa Tanzania ipo katika mwelekeo sahihi wa kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha Bungeni leo Juni 2, 2026, Simai alisema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kuvuka malengo ya ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha unaoelekea ukingoni, jambo alilosema linaakisi uimara wa usimamizi wa uchumi wa nchi.

Hata hivyo, alisema bado kuna baadhi ya watu wanaokwamisha juhudi za maendeleo kwa maslahi binafsi, akidai kuwa mmoja wao ni mtu aliyemtaja kwa jina la "Yuda" ndani ya Serikali.

"Kosa la Rais Samia ni lipi? Kumuamini mtu? Kumbe ni Yuda. Yuda huyu amewasaliti ndugu zake mwenyewe, hata familia iliyomlea kisiasa haitaki kumuona. Hata huko nyuma aliwahi kuitwa mzigo, lakini leo mzigo huo tunao ndani ya Serikali," alisema Simai.

Aidha, Simai alidai kuwa mtu huyo amekuwa chanzo cha maumivu kwa watu mbalimbali, akiwemo viongozi wa kisiasa, watumishi wa umma na wafanyabiashara, huku akisema baadhi ya waliokuwa na mustakabali mzuri wa kisiasa walipoteza nafasi zao kutokana na ushawishi wake na wengine kuingia katika changamoto za kisaikolojia.

"Leo huyo huyo anapita katika nyumba za ibada na maeneo mbalimbali akitafuta huruma ya wananchi. Anajaribu kujijenga kama mwathirika wa mfumo, wakati wengi wanafahamu nafasi yake katika kuathiri maisha na safari za watu wengine," aliongeza.

Kwa upande mwingine, Simai alikosoa kile alichokiita matumizi ya jina la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa maslahi ya kisiasa, akisema si sahihi kwa mtu yeyote kujinasibisha na urithi wa kisiasa wa kiongozi huyo kwa lengo la kujijengea uhalali mbele ya umma.

"Leo anataka kutuaminisha kuwa Hayati Magufuli alimpenda sana. Kama alimpenda, kwa nini alimuweka mbali? Waliompenda na waliopendwa na Rais Magufuli wanafahamika, na baadhi yao wapo hapa Bungeni hadi leo. Tumwache Hayati Magufuli apumzike kwa amani; alilitumikia taifa kwa kiwango kikubwa. Yuda aache kutafuta huruma za wananchi kwa kutumia majina ya watu waliotangulia mbele za haki," alisema Simai.
Wewe unaongea pumba, hivi wewe mtekaji na muuaji hujafa tu.
 
wakati mwingine “ubaguzi” una positive side, na ndiyo maana uko practiced dunia nzima, watu wote wanaojitambua wana "ubaguzi" i.e wanajipendelea wao kwanza na kuwatenga kwa makusudi ambao wako tofauti, kama tungekuwa “wabaguzi” hawa arabs wasingetamba hivi kwenye nchi yetu, tungewatenga kwa makusudi kabisa na wangekuwa omba omba, lkn wanaingia mpaka ndani ya bunge letu, hawakupaswa kuruhusiwa kwa hali ya kawaida …

Hayo ulioandika hapo hata Julius Nyerere hakuyajua. Kuna watu labda kumi na tano nchi nzima ndio wanaelewa hicho kitu.

Na nina hakika angeamka leo Nyerere akakuta watu wachache ambao sio wazawa wamekalia kooni wazawa angejuta na angefuta kauli zake na theories zake za kupinga ubaguzi.

Yani mtu ambae yeye mwenyewe anajitenga, na wewe, anaishi magorofani Upanga, anaoa au kuolewa na wenzie tu, anaajiri Mu Asia mwenzie tu, au anajiita Mzanzibari, kwa nini wewe ulazimishe kumlamba matako ?????

Eti hubagui. Hii ni moja ya mawazo foolish ya Mwalimu. Unalazimisha ku kiss ass za mtu anae kujambia !!!!
 
Back
Top Bottom