Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

Itatokatuu,SI mbali,karibu!
 
Makamu wa Rais kuitwa msaliti (Yuda Iskarioti), tena bungeni ni jambo kubwa sana.
 
Kama mkataba upi?
Tuwaulize ninyi ccm kuwa Richmond, iptl,escrow,epa nk ni nini? Na pia mutueleze gas ya mtwara imeishia wapi kwasababu Kuna siku nilimsikia mwenyekiti wa ccm taifa magufuli anasema nchi imeliwa balaa na kuhusu gas nchi hatuna chetu pale
 
Tuwaulize ninyi ccm kuwa Richmond,
Richmond muhusika aliajibishwa
Iptl imeshinda mahakamani huko tz ndiyo wanatakiwa kuilipa
Escrow pesa siyo za serikali
Epa ni deni la kampuni mfu ambayo watu waliamua kupita nazo,siyo mkataba
nk ni nini? Na pia mutueleze gas ya mtwara imeishia wapi kwasababu Kuna siku nilimsikia mwenyekiti wa ccm taifa magufuli anasema nchi imeliwa balaa na kuhusu gas nchi hatuna chetu pale
gas ya mtwara tz inamiliki kwa 50% kupitia tpdc, magufuli siyo mtu wa kumuamini
 
Wewe ni mwehu kweli kwahiyo tafsiri yake deep state na serikali yao wameshindwa kwenye sakata la iptl sasa je ni UPI umakini wa hao deep state? Kwahiyo utofauti wa samia na magufuli ni upi?
 
Wewe ni mwehu kweli kwahiyo tafsiri yake deep state na serikali yao wameshindwa kwenye sakata la iptl sasa je ni UPI umakini wa hao deep state? Kwahiyo utofauti wa samia na magufuli ni upi?
Ugonjwa akili wako,sonona na sadism wapelekee wengine babu
 
Huyu lazima amtetee mlevi mwenzake, ni importer wa pombe kule Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…