PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu mama ni mbunge wa wapi? Mapovu yamemtoka duh
 
Wengi huwa wanakuwa hivyo, ni selouts
 
Waliomchagua huyu Mbunge wanajiskiaje kiburi cha Uzima na Madaraka vinawapa upofu watu
 
Kumbe mnawatuma watu watukane. Sasa mleteni huyo Dotto magari kichaa aliyerogwa tena. Sisi tunawaletea Mange, atupe file la huyu mmama. Tutajua mahawara zako vitoto vidogo vyote, wataguswa ukoo wako wote. Ni tit for tat.

Badala ya kufanya maendeleo na huduma za kijamii. Mnaanza kugombana na raia, kisa kutetea kurudi Bungeni. Hata aliyewaumba hamumtetei hivyo kwa watu, mnaabudu mtu kuliko Mungu.
 
Hawa wabunge wawe na heshima kwa Watanzania.
Kutetea mkate wao kwa kujipendekeza kusivuke mipaka ya kututukana namna hii.
Wanaletwa kugegedwa kwenye lodges na hotels zetu.
Tunawajua na tunaona.
Camera za siri zipo nyingi tena bei rahisi sana.
 
Anamdhalilisha Doto Magari kwamba ndiye anayejua matusi...yeye pekee anaweza kutukanana na watu wote wa Kenya.
Hawa ndiyo watunga Sera wetu, tuna bahati mbaya sana kwakweli.
 
Yule waliesema anasagana na Mama yupo wapi sikuhizi.
 
Yule mwimbaji wa injili alivoimba kuwa wanatuona manini sijui..akapewa kesi ya uchochezi. Hapa bungeni raia wa Tanzania wanaitwa kenge. Maajabu hayawwezi kuisha duniani
 
Ahaa ndio maana wakampiga Padre Kitima kwa kuwa ni kenge?
Na hadi sasa hakuna kesi mbele ya mahakama kwa kuwa wanaotekwa na kuuawa na kubakwa ni kenge?
Wanateka na kubaka kenge?
 
Wewe kenge kwenye msafara wa mamba unashughulikiwa.
 
Ni watu sasa tuchutame tu kiuhalisia kwa wakenya kwenye swala la kututukana wametupiga pakubwa basi ni ubishi wetu tu lkn binafsi naona aibu. TUMECHEMKA.
Na hizi clip za leo wakizifanyia kazi basi kesho tutaamka na mengine, natamani hata network isiwepo.
 
Bunge la TZ ni vikao vya vijembe vya CCM na vibaraka wao.
 
Nikiwaambia hili Kosa alilifanya Yule msukuma MAGUFULI hamtaki kuniamini haya Sasa oneni
 
Haya yote tumeyataka wenyewe ilitakiwa ZnZ uwe mkoa wa Tanganyika kama ilivyo Simiyu,songea na katavi.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Afu kichwani amevaa ushungi, aisee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…