Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Subirien kitakachofuata ni mitandao yote kuzimwa tu na ole wake mtu aseme jambo tutaishia jela mwaka huu
 
Ni hatari mno kwa tabia hiii, itajenga makundi ya kigaidi ndani ya nchi Kwa kuutafuta cheo, hiii ni Aina ya iddi Amini ndio alivyokuwa akiteua wale tu wanaotembea na kumsifu barabarani hadharani ni hatari sana hiii, eti ili upate cheo lazima usifie utukane na kudharirisha upande wa wale wanaomkosoa mfalme hiii ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa tunaenda msibani, hata kuteua tungekua na utu wa kusubiria kidogo...haraka ya nini hata hatujazika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Very true, alitaka kuwaamisha watanzania kuwa is hard working kumbe wenye nazo wanamshangaa! Kwani wameshazika?
Je? huu ndiyo utamaduni wetu kabla hata ya kumaliza kula vyombo vinaondolewa mezani?
 
Sounds good but not necessarily, masuala yote ya kitaalam katibu mkuu huyasimamia hivyo ndiye mtendaji mkuu wa wizara, waziri husimamia sera
Kwa mtizamo hiyo siyo mpaka iwe professionalism.
 
Ndugu Zangu Tuchape Kazi
Vyeo Vipo!!!πŸ˜πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚
 

Mkuu, hili suala linashangaza sana.

Yaani ni sawa na Wizara ya Ulinzi umpe Waziri mwenye taaluma ya Kilimo. Eti kisa Waziri siyo mtendaji, mtendaji ni Katibu Mkuu. Hapana!! Haimeki sense.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…