Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Wala usitukane ndugu, kila jambo huja kwa wakati na nanafasi...kwasasa mamlaka ni yake, huenda nawe zamu yako itakuja
Yani hapa naporomosha mitusi hadi nakera watu.
 
Ingawaje Katibu Mkuu ndie mtendaji wa wizara lakini kuna wizara zingine busara ni kuwa na waziri ambae mwenye taaluma ya wizara husika! Anyway, huenda atapunguza kujitoa ufahamu kule Twitter!
 
Anaapishwa lini na wapi?
 
Hii ndio raha ya kujua kumfurahisha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…