Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa nini unadhani kila mtu ni mfuasi wa Kigogo!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini unadhani kila mtu ni mfuasi wa Kigogo!?
si ulikuwa CCM wewe au?Wenye imani na Magu nawapa pole
Mkuu wetu anapenda watu wanafiki na wanaojua kujipendekeza.Bandika bandua...
Hii ndio faida ya kujipendekeza na kuitetea serikali hata kwenye mambo ya ajabu. Kwenye awamu hii Wanaosaka teuzi fuateni nyayo za Mwigulu.
Hivi angesuburi angalau wiki moja watu wakamaliza kwanza msiba wa marehemu Mahiga angekuwa amevunja katiba? Nisaidieni
Na mimi naongezea, ENDELEA NA STRESS ZAKO MA CHUKI ZAKO ILA JAMAA NDIO ANAENDA KUWA WAZIRI WA KATIBA MA SHERIA, na huna la kufanya!Kama ambavyo uwaziri wake haunisaidii mimi , kama wewe sio mkewe au mumewe basi Huli mshahara wake ....so tujadili kwa picha pana ,hakuna mtu mwenye haki ya kupata stress na kazi yake zaidi ya familia yake ....au pengine mchepuko wake
Bandika bandua...
Hii ndio faida ya kujipendekeza na kuitetea serikali hata kwenye mambo ya ajabu. Kwenye awamu hii Wanaosaka teuzi fuateni nyayo za Mwigulu.
Yeye ndo team manager anaweza panga na kupangua team yake wakati wowote kulingana na target ya team.Ndio mjiulize kama hufukuza watu kwa masilahi ya Taifa au lengo huwa ni kutaka ku-make headlines.
Upande wa pili vigezo ni undugu na urembo.Kujipendekeza ndiyo kigezo namba moja cha kuchaguliwa na sio elimu ya wizara husika.