ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Amesharudi toka mwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa duniani hakuna binadamu ambaye si mchumia tumbo. Hata mimi na wewe sote ni wachumia tumbo. Ila binadamu wengine wamezidi mno!. Yaani ruzuku yote ya chama kila mwezi inaenda kwenye tumbo moja kulipia madeni hewa yasiyoisha. It is just too much 'uchumia tumbo'!Wabunge wanaohama kwenda CCM ni wachumia tumbo kwa sababu moja tu,wanaenda kugombea tena nafasi ile aliyoiacha,nitawaamini endapo wakiondoka upinzani na kutogombea tena,muangalie nyalando kaacha katulia kimya anafanya mambo yake.
Tukichoka tunakunywa juice ya tende huku tukiangalia movie fran iv inaitwa Pretty WomanKwani ni Marathon hiyo? Ukimaliza comrade bado atakuwa yuko mubashara.
Viongozi wa upinzani hasa Chadema wanajisahau kuwa wao sio sawa na mwenyekiti wa CCM.
Mwenyekiti wa CCM na wale wa vyama vya upinzani ni kama mbingu na ardhi.
Mwenyekiti wa CCM akiwalazimisha wanachama wake kupigia kura bajeti analenga kutimiza malengo ya serikali yake.
Lakini wale wapinzani kila mwaka wanalazimishwa kupinga bajeti bila kutuambia wanataka ipitishwe ipi ?
Yani wanataka nchi isiwe na bajeti au wanataka nini na uchache wao?
Mwenyekiti wa Chadema akimbana Mwanachama wake wakati mwingine mtu anaona isiwe tabu naweka maisha yangu rehani halafu bado nabughudhiwa na kutishwa tishwa na mtu asiye na teuzi zaidi ya viti maalum.
Mwenyekiti wa CCM akimtishia mtu ujue kweli mtu anapata tabu sana mana fursa zote za nchi hii zipo mikoni mwake. Sasa mwenyekiti wa Chadama ana nini cha kumtishia mtu mpaka mtu aufyate?
Mbowe ajaribu sasa kusikiliza watu wa maeneo mengine nje ya wale wa waliomzunguka ambao wanaangalia maslahi yao kwanza.
Vinginevyo chama kitapukutika kabisa.
Watanzania hawana uelewa huo wanaoufikiria wapinzani.
Wengi wanaamini kuwa juhudi za Mh. Rais zinavunja nguvu ya vyama vya upinzani. Watapinzani wamejisaha kabisa.
Ngoja wabunge wao waishe ili wajipange upya.
Pretty woman ya mwaka gani hiyo mkuu nicheck fasta onlineTukichoka tunakunywa juice ya tende huku tukiangalia movie fran iv inaitwa Pretty Woman
ya kitambo kidogoPretty woman ya mwaka gani hiyo mkuu nicheck fasta online
Kweli kabisa.1.5 T naona ndio zinafanya kazi
Hii hama hama kwa kweli inaturudisha nyuma sana kimaendeleo maana pesa nyingi zinapotea kwenye marudio ya uchaguzi.Sijui nani katuloga kwa kweli. Huu ni aina mpya ya ufisadi au upotezaji pesa za wananchi.