Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Kaondoka Slaa, Mashinji, Sumaye, Lowasa who i s Komu? Ingeondoka ile miamba kumi na 17 Hapo sawa,thus tunasema mizoga huwezi nunua wanaopigiwa kura ukawaacha wapiga kuraAkili kama hizi ndio zinafanya chadema ionekane ya kihuni mbele ya watu wenye akili!
Komu ni mzoga? Hivi unajua nafasi aliyokuwa nayo Komu hapo chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamnyima usingizi jamaa akilala akiamka anawaza Mbowe tu
Ni transit ya usajili at the end ataishia kwa general paymaster checkNi mpango thabiti, au pale ni transit camp
In God we Trust
sababu kubwa ni njaaMtoa mada ni vema ungetueleza sababu alizozitoa Komu mpaka atangaze kubwaga manyanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
umeandika kisomi sana !Njia pekee ya kuuwa upinzani ni kutatua shida za watz mfano ajira,njaa,elimu,afya,usalama na sio kuwatumia wasiojulikana, manunuzi,teuzi,police utaishia kupata mizoga tu.
Huwezi uwa upinzani kwa kutumia nguvu bali akili,huwezi uwa upinzani Kwa kuufanya adui
Mimi nisimjue Komu ? kama ana nguvu hiyo ilikuwaje akapata kura za maoni 17 ?
Inawasaidia mazuzu kama nyinyi kuendelea kupata posho ya buku 7 za lumumba kwa kumtukana
Akili kama hizi ndio zinafanya chadema ionekane ya kihuni mbele ya watu wenye akili!
Komu ni mzoga? Hivi unajua nafasi aliyokuwa nayo Komu hapo chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni transit ya usajili at the end ataishia kwa general paymaster check
uoni=huoni.We uoni teuzi wanazopewa,we uoni wamepewa...
Yule dem wake anapenda sana hela, anaweza kumshawishi mzee akapiga.naambiwa kuna tetesi huenda akarudishwa nyumbani kwa ufisadi , eti ni kweli ?
Mh Kova karibu sana .Yule dem wake anapenda sana hela, anaweza kumshawishi mzee akapiga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukweli lazima usemwe hawa jamaa wanazingua Sana..... Kuna tetesi pia Kubenea na Silinde nao wanahama, Sasa imagine mtu Kama Silinde au Kubenea chama kilivowabebaAsante sana kwa kuandika ukweli