Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Sipati picha ndugu yetu Katelefoni anajisikiaje!
Ukifukia ufieldmashal wa uongo kama ilivyo kwa wengi wa viongozi wa chama na sirikali wala huwezi jisikia vibaya. Kwa hiyo naamini hata yeye yuko sawa kabisa na hata sasa anawashangaa na kuwaona wazushi mnaodai kuna machafuko.

POLE SANA KWA HANGA!
 
Ndiyo maana yule jamaa anaitwa Uhuru Kenyatta
 
Hili swala sasa ni kama kuna picha inanijia kua huenda kuna watu nyuma ya wamasai
 
Vaa uhalisia wao(wahanga) serikali imeongea na viongozi viongozi hawajaongea na wananchi. Kifuatacho hapo ni nini kama sio kupinga. Fahamu chanzo na uhalisia wa mgogoro sio kuhemka tu.
#Uzalendo, haki na usawa ni bidhaa hadimu sana Tanzania.
 
Hakika wakenya ni waungwana Sana.

Siyo sisi watanzania, tunajiwekea visasi, hata kwenye matibabu🥺
 
Vaa uhalisia wao(wahanga) serikali imeongea na viongozi viongozi hawajaongea na wananchi. Kifuatacho hapo ni nini kama sio kupinga. Fahamu chanzo na uhalisia wa mgogoro sio kuhemka tu.
#Uzalendo, haki na usawa ni bidhaa hadimu sana Tanzania.
Tanzania ni kisiwa cha amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…