Pre GE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akili yangu ya kifugaji na elimu ya la 4B inanisukuma kuamini kuwa Mh. Ole Sendeka ameipiga risasi gari yake ikiwa imesimama na kisha kutoa Taarifa Polisi kwamba ameshambiliwa. Hii ni akili yangu na siamini kuwepo Kwa Uhalisia katika tukio hili. Kama ni kinyume Mzee Sendeka nisamehe.
 
Walitakiwa wamtie za paja kama zile alizomiminiwa mchina mweusi "Lee Su"
 
Huyu Olesendeka sindio aliyemshauri Magufuli wasanii wanaoimba kuhusu serikali wauawe!. Basi kama ndiye nae aonje joto lake..... Roma alisema atamshitakia kwa mungu.
 
Uchunguzi wa polisi utalibaini hili kirahisi kupitia bunduki na risasi iliyotumika. Upo hapo ewe form 4B??
 
Naona Chanzo Cha Matatizo(CCM) mmeanza kutengeneza movie ili kufunika ripoti ya CAG ya zile billion 6 zilizokusanywa na Halmashauri ambazo mpaka sasa hazijulikani zilipo.
 
Hakuna mwenye Haki ya kummimia risasi mtu yoyote awe mfungwa, CCM au CHADEMA au Layman yoyote no life is worth more than another.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…