rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kwa hiyo wewe unawajua wapi walipoKwani walikueleza na kukuonesha makaburi yao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe unawajua wapi walipoKwani walikueleza na kukuonesha makaburi yao?
Kakurupuka kipi hapo?Vyovyote vile,Sendeka of all the people,kwa nini avurumishiwe risasi?Huyu dada anakurupuka sana
What if ni issues za battle zao wamasai na vita ya nani awe LAIGWANAN?
Tangu lini kushuku/suspecting ikawa kosa kisheria au dhambi kiimani?Kwa hiyo wewe unawajua wapi walipo
Unapenda sana eeh?Kweli aisee Wamemtelekeza hata kumafariji tu hakuna.
Ni kama walitamani iwe kweli.
Walitakiwa wamtie za paja kama zile alizomiminiwa mchina mweusi "Lee Su"Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro.
Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake.
Taarifa zaidi zitakujia baadae.
Hakuna alie salama..!!
---
Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amenusurika kuuawa baada ya watu wasiojulikana kuliahambulia gari lake kwa risasi mapema leo jioni hii.
Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo katika eneo hilo wameeleza kwamba walisikia milio ya risasi ikishambulia gari hilo kabla ya washambuliaji kutokomea kusikojulikana.
Taarifa za uhakika kutoka Simanjiro zinaeleza kwamba mbunge huyo pamoja na dereva wake wote wamenusurika baada ya gari lao kushambuliwa kwa risasi wakati wakiwa jimboni humo.
Soma pia > CCM imuadhibu Ole Sendeka kwa kuvamia mashamba na kuharibu amani
🙄Ame~mess na wenye wameshika mpini nini!?
Huwezi elewaKakurupuka kipi hapo?Vyovyote vile,Sendeka of all the people,kwa nini avurumishiwe risasi?
Kwa sababu wewe una ufunuo toka mbinguni?Huwezi elewa
Uchunguzi wa polisi utalibaini hili kirahisi kupitia bunduki na risasi iliyotumika. Upo hapo ewe form 4B??Akili yangu ya kifugaji na elimu ya la 4B inanisukuma kuamini kuwa Mh. Ole Sendeka ameipiga risasi gari yake ikiwa imesimama na kisha kutoa Taarifa Polisi kwamba ameshambiliwa. Hii ni akili yangu na siamini kuwepo Kwa Uhalisia katika tukio hili. Kama ni kinyume Mzee Sendeka nisamehe.
Naona Chanzo Cha Matatizo(CCM) mmeanza kutengeneza movie ili kufunika ripoti ya CAG ya zile billion 6 zilizokusanywa na Halmashauri ambazo mpaka sasa hazijulikani zilipo.Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro.
Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake.
Taarifa zaidi zitakujia baadae.
Hakuna alie salama..!!
---
Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amenusurika kuuawa baada ya watu wasiojulikana kuliahambulia gari lake kwa risasi mapema leo jioni hii.
Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo katika eneo hilo wameeleza kwamba walisikia milio ya risasi ikishambulia gari hilo kabla ya washambuliaji kutokomea kusikojulikana.
Taarifa za uhakika kutoka Simanjiro zinaeleza kwamba mbunge huyo pamoja na dereva wake wote wamenusurika baada ya gari lao kushambuliwa kwa risasi wakati wakiwa jimboni humo.
Soma pia > CCM imuadhibu Ole Sendeka kwa kuvamia mashamba na kuharibu amani
Mbunge wa Simanjiro Olesendeka ashambuliwa Kwa Risasi usiku huu na watu wasiojulikana. Amefutwa na gari Kwa muda na alipofika katikati ya Ng'abolok na Irkiushi, Kibaya, gari iliyokuwa ikimfuatilia ilijifanya kama inataka kupita na ghafla kuanza kumimina risasi kadhaa kuelekea mlango wa dreva.
Olesendeka na Dreva wote wako salama. Kwa Sasa wapo Kituo cha Polisi Kibaya. Taatifa pia imeshatolewa Kwa RPC -Manyara
View: https://x.com/mariastsehai/status/1773779899175584037?s=46&t=vDlGjN3mpXpeCEHCuyoPFg