Pre GE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nionanavyo mimi faulo zitakua nyingi sana kuanzia mwishoni mwa mwaka huu.
Mwakani muendelezo utashika kasi na kutulia baada ya uchaguzi.
 
Duh!...pole sana Mh.Sendeka.
 
Usiku jamani mzee alitoka wapi usiku huu mzito labda
 
Tulishakubaliana anayeshambulia wabunge na JPM ila JPM naye katili kweli sasa kwa nini amshambulie Ole Sendeka?
 
Mafia humalizana kimafia!
 
Bado anakomaa na mambo ya Ngorongo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…