Nauona kurudi kwa chama kimoja.Naona dalili za mwisho wa CHADEMA
mchukulie kuwa amekufa , je CDM ndio ife?kAMA NI KWELI AISEE NI PIGO KWA CHADEMA, JAMAA NI BONGE LA JEMBE
Unajuaje kama hajanunuliwa?Watakuja hapa kusema kanunuliwa
Hata viongozi wa dini walihoji na sisi tutaendelea kuamini hii ni biashara ya utumwa imerudi.Watakuja hapa kusema kanunuliwa
Sana tena sana! Taasisi siyo mtu! Ni kununuliwa kama mroho wa hela nenda!Unaamini baada ya CHADEMA kuondoka slaa imebaki kama mwanzo???
Kufa akifi kabisa ila ule umaarufu wake utapotea, kiko wapi TLP au NCCR MAGEUZI?CHADEMA haitakufa kaka, Sana sana ndo inaimarika, Magufuli siyo Mungu hata aue upinzani.
Atakufa Magufuli na kuiacha CHADEMA ikiishi.
duuh!!Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara, atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama
> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
> Mwenge wa Uhuru umekuja kuzindua miradi ya maendeleo niliyoipigania lakini naambiwa usiende pale na mimi shida yangu haikuwa CCM pale ilikuwa ni mradi niliopigania
"Leo nimejiondoa rasmi CHADEMA kwahiyo mimi sio Mbunge tena, nimetupa jongoo na mti wake" amesema Mwita Waitara
Nakuonea huruma sana mkuu, natamani nikurushie screen shot za matusi ya wanachedema jimbo la ukonga wakimtukana waitara kwenye group ambalo waitara mwenyewe alikuwemo mpka akaamua kujitoa , yaani hadi watoto wadogo wanamwita majina ya ajabu ajabu..Nothing than ccm selfish behavior is on control and spirit of poverty to decline tax payer money for reelection [emoji317] [emoji317] [emoji317]
Uwezo wa Mbowe ni mkubwa kuliko mnavyodhani, aliondoka Slaa sembuse huyu na kuondoka kwa mmoja ni mwanzo wa mipango mingine ya chama.Tunalisema hili kila kukicha
uwezo wa mbowe umeishia 2015
Hahaha watapata tabu sana