Kwa hiyo cdm sasa hivi ipo imara!?KAMA SLAA ALIONDOKA NA IKABAKI KAMA ILIVYO, BASI CDM ITASIMAMA IMARA SIKU ZOTE
Na wenyewe warudi hukohuko walikotoka, tuone anakomeshwa nani.Mbona hata Mbowe alitokea huko huko ccm kabla ya kujiunga na chadema. Hata mwasisi wa chadema Mzee Mtei alitokea huko huko ccm.
Totally trueNaona dalili za mwisho wa CHADEMA
Dr Slaa angekuwapo leo angefanya nini kwenye siasa za awamu hii ya 5? Acheni kuhadaa watu eti Leo Dr Slaa angekuwapo tusingekuwa na siasa za kijinga kama tunavyoviona leoAwe amenunuliwa au vyovyote tutakavyomuita lakini kitu kimoja ambacho ni hakika ni Chadema inaenda kubaya. Tuache kuimbiana mapambio tuseme ukweli otherwise naiona NCCR mpya za zama hizi! Mkapa aliivyonza NCCR na sasa naona mzee baba anafanya the same to Chadema. Vyovyote vile haya yanayotokea CCM si ya kulaumiwa bali Chadema yenyewe, acheni kutafuta mchawi.
Mlichomfanya Dr Slaa 2015 wengine tuliandika hadi vidole vikauma lakini tuliona shimo ambalo wengine kwa mihemuko hawakuona. Msijipe moyo, tubuni makossa ili muanze upya na kujenga upya uaminifu ambao unapaswa kuanzia kwa viongozi wenyewe.
Channel ganiWewe ni Tomaso fungua tv yako uone ama huna king'amuzi?
JPM THE GREAT walahi!
indeed!!!!!!!!Foolish age