Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Tunampongeza Kuyakimbia Mafisadi🐂🐂🐂🐂🐂🐂🐂🐂🐂🐂🐂🐂🐂
 
dah..another cash to be spent on a senseless by-election!!!
tunaomba asiuliwe akwilina mwingine wakati wa uchaguzi...si angevumilia tu hiyo miaka miwili
pesa huongea kwa sauti kubwa sana
 
Yaani nimefurahi sana, tulishawaambia huko hicho kikundi cha chama mfu ni cha magaidi, na wala rushwa wakubwa, karibu sana CCM
 

Tanzania usipambanie mwanasiasa,pambania kweli. Ukweli hauna chama,hauwezi kukuhama.

Inawezekana chadema kuna tatizo la matumizi ya ruzuku,lakini kama ingekuwa ndio sababu ya Mwita kuachia ngazi basi asingeenda kujiunga na wale aliokuwa anawakosoa,angeenda pengine ACT kwa ZZK ningeona anasimamia ukweli.​
 
Hivi mbona hawahamii CUF, NCCR na vyama vingine vya siasa.

Yani hawa wanasiasa wanaohama hama vyama wanahitaji walipe na faini ya mamilioni kwa kuchezea kodi zetu kwa upumbavu wa kurudia uchaguzi
 
Upinzani wa nchi hii si lazima uwe wa chama cha CDM. CDM 2020 msisumbuke kabisa kupoteza nguvu zenu kusimamisha wabunge na madiwani tulieni tu
 
Chadema imejaa ubinafsi na ubadhirifu. waitara anaweka wazi namna ruzuku inavyotumika vibaya huko.
Ngoja aende huko Lumumba ili wamjibu vizuri wapi ziliko 1.5 trln....
 
Mbona lilijulikana hili,naona kama amechelewa kutoa hivyo "vijisababu vyake"
 
Mkuu.. Nikupe pole kwakuwa wewe hujui chochote pale chadema, ila kina mbowe ndio wanajua fika.
 
Ngumu sana kwa mtu mweusi kuja kuendelea, siku zao ni kutangatanga tu! Hawana uvumilivu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…