Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

Eti Simba😂
Zipo Nchi wamepiga marufuku sema Watanzania tunaiga iga vitu sana mimi nafuga mbwa ila wale hata bure sichukui Mbwa ukimcheleweshea chakula mara kadhaa anaweka kinyongo kama binadamu siku yeyote anaamua kukung'ata kwa kosa la majuzi hakuna Mbwa hapo ni Simba huyo...watu wapewe Elimu ya aina za Mbwa wa kufugwa sio hao Bulldog...
 
Hee🤣🤣🤣
Anaweka kinyongo😂😂😂


Mimi sitaki kabisa masuala ya mbwa.

Hivi life span ya mbwa huwa inarange miaka mingapi!?
Nimekumbuka mbwa wangu wa utotoni nilimwita Simba, siku moja namlisha chakula akanipara mkono.
 
Aisee
Hatari sana


Kuna paka hapa nyumbani,hata samaki anasusa kula.
Yaani mimi nakula maharage,Nampa samaki hataki!
Sijui ndio hajanizoea,sijui ndio anashiba panya..kwa kweli nimemchukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…