Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

Ukiwa masikini lazima uandike mambo ya hovyo tu.
 
Wako well off kiuchumi ila kichwani hawajielewi
Kuzungukwa na masikini ni kero sana
Hata angeishi masaki angekufa ila hapa tunajaribu kumoa mtu hadhi yake
Wazee wanahitaji maeneo tulivu wajifika umri wa utu uzima
Mbagala sio sehemu sahihi
We utakuwa mhaya si buree
 
Good thinking 🤔
 
Saa zingine shule nayo ni muhimu. Ukute wanaamini kwenye uswahili
 
Ila unabidi kujua Mzee Samatta (Baba)

Alikuwa mchezaji Mkubwa Tanzania amekaa UK , America n.k

Sifikirii Kama yeye mwenyewe angeamua kuhama hapo Mbagala angeshindwa.

Na pia Familia ya Samatta sio familia ya kimasikini ina watu wanaojielewa na baadhi wamesoma wapo wanajeshi , walimu n.k

Kwahiyo usiongee Sana Mambo ambayo hauyafahamu. Hasa mambo ya kifamilia.
 
Nilivyoona mleta mada ni mtoto mdogo ambae hawatunzi wazazi wakwe
 
Sema nn kuishi mazingira maziri ni unyama sana.
Hayana furaha , Nimehama huku kwa kishua mwaka wa pili sasa sina furaha ..Hakuna hata vibanda umiza vya kuangalia mpira...Nitahama kuishi kwenye mageti kama mbwa hapana ...Bora hata Makorora kuna vibes.
 
Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
 
Nyumba ya mbagala jamaa alirekebisha kidogo na pia za chini ya kapeti mzee Samatta hakupenda maisha yale ya kujikweza ndo maana hata ulaya alienda mara moja tu nadhani enzi za uhai wake. Kuufupi mzee Samatta hakua anapenda maisha ya standard.

Kingine Samatta msiri sana wazee yaani hata mtaani pale huwezi jua kama jamaa analipwa mamilioni kwa nyumba yao iko vile vile ila maeneo mengine amejenga mijengo ya kutosha.
 
Alifanya pia kazi ikulu,Canada nadhani ilikuwa UniversityBritish Columbia alipigwa msasa huko,wahenga wa Moscow wana hadithi tamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…