D
Yani kweli kabisa umeenda msibani kwa watu kuwachunguza, kuwaanika na kuwatweza utu familia ya watu?
Kwanini baba hakujenga mji wake ?
Alikua kilema?
Mbwembwe za mjini ni haki ya kikatiba.Hapana Mkuu. Nilitegemea kuona utofauti kidogo siyo kwa mbwembwe zile za Mjini anazotutambia mkuu, si Bora uishi key low profile tu, haya wasanii wanashangaa hata mademu aliowakula wanashangaa, hapa Iringa Mjini tunapishana na Magari ya wasanii na watu Maarufu tu, lakini na wao wameshangaa, eti Familia imegoma picha mgando na mjengeo zisichukuliwe.
Huyu mwanga tu, huoni alivyokimbilia habari za masharti ya mganga?Dah mtu mzima una tumia masaa zaidi ya 5 kwenye safari, ili uka mnange mwanaume mwenzio kwenye msiba wa mzee wake?.
ajenge asijenge wewe haikuhusu, vipi kama mzee wake alikataa kujengewa?.
Wivu, husda na chuki vime kujaa mzee, beside family issue zake hakuziweka public respect that.
ana jaribu kuifurahisha nafsi yake, kwa kumbaganza mwenzie.Huyu mwanga tu, huoni alivyokimbilia habari za masharti ya mganga?
He is projecting his behaviors unto others.
Watu tuna tofautiana, mie kipato changu kinaendana na maisha ya kwetu na ndugu zangu, na kikiongezeka zaidi basi kwetu kutanoga zaidi... kuna shida gani kumjengea mzee vi apartment akawa anakula kodi, mie niwe namiliki ukwasi wa karibia bilioni1,3,5 ama 10, haiwezekani mzee wangu akose kibanda hata cha milioni 30, eti kisa ye alikuwa wapi kujenga, kwangu hapana, ye hakubahatika kuzipata sasa mimi ninezipata kwangu naona ni wajibu yeye aishi vizuri
Umasikini tu huu unawasumbua ukiwa na hela hauwezi kuwa na mawazo kama yako..tembea uone watu wanavyoishi sio kwa mawazo haya..nyumba shilingi ngapi mpaka useme umiliki wewe..Kwa nini ujenge kwenu na sio kujenga kwako???
Ile sio nyumba ya vubei bali ile ni nyumba ya baba wa vubei, how come umlaumu mtu kutokwenda kujenga nyumba ya mwanaume mwenzie?
mi mwenyewe hata niwe na ukwasi sawa sawa na elon, siwezi kwenda kujenga kijijini kwetu, otherwise waniuzie nipamiliki ndio nitajenga maana ni kwangu sio kwa baba.
Utakuwa kwenye msiba wa Vunja Bei
Kama ndiyo, hilo linawezekanaje? Pia mdogo wake si amekuwa mbunge? Wanashindwaje kumjenga baba?