Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba anahela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!

Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke. Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake, ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.

Kwa hiyo na wewe ukifa kihohehahe tumlaumu Mtoto wako?
 
Suala sio hela wala nini, ishu ni kwamba, kwa nini ukajenge nyumbani kwa mwanaume mwenzio?
Hivi vitu vinataka malezi pia wengi wamekosa malezi ya pamoja kutoka kwa wazazi ndio maana unaona wakitoka home hawakanyagi tena nenda Kilimanjaro uone vijana wanavyojenga nyumba za wazazi wao ndio maana nimesema wengi wenu hela na malezi yamewafanya msione kitu cha muhimu usizunguke huo ndio ukweli..
 
Watu tuna tofautiana, mie kipato changu kinaendana na maisha ya kwetu na ndugu zangu, na kikiongezeka zaidi basi kwetu kutanoga zaidi... kuna shida gani kumjengea mzee vi apartment akawa anakula kodi, mie niwe namiliki ukwasi wa karibia bilioni1,3,5 ama 10, haiwezekani mzee wangu akose kibanda hata cha milioni 30, eti kisa ye alikuwa wapi kujenga, kwangu hapana, ye hakubahatika kuzipata sasa mimi ninezipata kwangu naona ni wajibu yeye aishi vizuri
Kuona ni wajibu haimaanishi kwamba ni wajibu. Mazoea ya kijamii yanaweza kulifanya jambo ambalo sio wajibu lionekane ni wajibu.
 
Hivi vitu vinataka malezi pia wengi wamekosa malezi ya pamoja kutoka kwa wazazi ndio maana unaona wakitoka home hawakanyagi tena nenda Kilimanjaro uone vijana wanavyojenga nyumba za wazazi wao ndio maana nimesema wengi wenu hela na malezi yamewafanya msione kitu cha muhimu usizunguke huo ndio ukweli..
Mkuu Naomba unijibu hapa

Kwa nini nikajenge nyumba ya baba?
 
Back
Top Bottom