The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
WAchagga ndio kabila Pekee wanajali kwao na wazazi wao. Sisi makabila mengine [mikonongo na chasaka] hatujali familia, mandugu zetu na hata kusomesha !
Ni kweli. Hongera zao watu wa kaskazini.
Bibi anasomesha mpaka vitukuu kwa kuuza Raba.