Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.

Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!

Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke.

Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake. Ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.
Vipi wewe ulishawajengea wazazi wako?
 
Weanaoishi maisha mazuri huwezi kuwakuta wanaenda back and forth kujengea wazazi kijijini.
Mkuu wengi tumebarikiwa tofauti. Kuna wengine humu wamezaliwa masaki. Washua walikuwa njema na mpaka leo wako njema. Kuna wengine sisi ni first generation kutoboa…hata kufika dar es salaam. Sasa mkuu, utaacha kufanya lolote, Nyumbani kwamba sihusiki? Aibu yao, aibu yako.
Some of us, hatuwezi kujifariji. We need to fight battles our parents fought but never won.
Again, ni muhimu ku balance, maana hata sisi tuna maisha yetu. Yet truth is, wengi wetu humu hatuna luxury ya kusahau tulikotoka.

Ukweli ni kwamba kama una vyombo mjini, walimwengu hawatakupima kwa round za beer na Hennessy (hata kama unawanunulia wao)
Watakupima kwa ulilofanya kwenu. Ndo Ulimwengu ulivyo. Siyo wote wanaoenda msibani wana uchungu na marehemu.

Muulize Isanga family atakwambia.
 
Mimi nina vijana wengi wamewajengea wazazi wao hapo home wengine hela zimepitia kwangu mmoja yupo UK mwezi wa tatu anakabodhi nyumba kwa wazazi wake pana jamaa mmoja mshahara akipata alikua nusu home nusu anatumia hapa jamaa kila akigusa kitu mambo yananyooka yupo na Wajapan Tokyo mwezi wa tatu huu ikifika Desemba walio na maisha wengi kutoka hapa wanaacha magari kwa wazazi wao huko hawayauzi nimeshangaa jamaa wanakomaa eti unajengaje home wakati wewe ndio unatakiwa ufiche aibu kwa familia yako...
 
Kabisa!

Lakini uhalisia ni kwamba maisha ya kijijini leo siyo sawa na miaka ya nyuma. Unaweza kuta kuna watu wanaishi maisha mazuri vijijini, wa mjini can only dream of.
Kitu cha msingi ni kwamba kila mtu aamue anachotaka kufanya katika maisha yake, ajenge anapotaka, au hata kama hataki kujenga anataka kula bata tu, iwe haki yake kufanya hivyo bila kusakamwa na wambea wanaotaka kupangia watu maisha.

Hela zake, anayeamua kuzitumia vioi ni yeye. Tatizo liko wapi?

Kwa nini hili somo linakuwa gumu sana kueleweka kwa baadhi ya Watanzania?

Ndiyo maana mimi naona huu ni mnyukano wa kimbeambea tu, watu wamwshindwa mashindano ya mbwembwe maisha ya mjini, wana maumivu katika mashindano yao, wameamua kumtafutia mtu sehemu ya kumsema tu bika hata kujua makubaliano ya familia yao ni nini.
 
Wanaume wa Dar ndiomana mnagongwa kwa upumbavu wa kufatilia maisha ya watu..!!

Si uzike urudi kwako utulie, issue ya Vunja kujenga kwao wewe inakuhusu nini??
Watanzania hao, wengi wao wanawindana kuanzia kwenye kupiga kura mpaka kwenye kuzikana.

Unaweza kumlaumu sana Samia kawinda watu October 29, kumbe na wewe unamuwinda Vunjabei kwenye msiba wa baba yake.
 
Sio kwenu tu ,ukipata hela ya uhakika..fumua mjengo wa maana haswa..Ishi maisha ni sasa..kuna wengine wanatukwepa kwepa kwenye vikundi😀😀😀unaona mshikaji anaumwa chupa ya chai aliyokuja nayo shemeji unashindwa kuelewa Maiko hela unapeleka wapi eti..watoto wapo wapo tu..😀😀😀
Kama pesa ipo ishi maisha..mana huko tuoendako hatujuiiiii😀😀

Jenga kwenu msije kusumbua ndugi siku tunabeba jeneza mnaanza kujenga usiku usiku kuficha aibu ya marehemu pumbavu kabisa..😀😀
 
😹😹😹
Halafu alivyo mjinga wala hajatoa maelezo kamili kuhusu mzee Ngajiro baba yake Vunjabei. Alikuwa na kampuni ya magari ya usafirishaji na muuza mbao maarufu.

Hizo biashara kafundishwa na baba yake na mtaji wa kuanza kuuza nguo kapewa na baba yake. Hayo kayaacha ndo ujue watanzania tuna wivu na roho mbaya..!!
 
Kwamba mnaanza kujenga usiku usiku kama wachawi🤣
 
😹😹😹
Halafu alivyo mjinga wala hajatoa maelezo kamili kuhusu mzee Ngajiro baba yake Vunjabei. Alikuwa na kampuni ya magari ya usafirishaji na muuza mbao maarufu.

Hizo biashara kafundishwa na baba yake na mtaji wa kuanza kuuza nguo kapewa na baba yake. Hayo kayaacha ndo ujue watanzania tuna wivu na roho mbaya..!!
Umeweka mambo wazi kwa ligha rahisi.

Ni wivu na roho mbaya.

Halafu hao watu ni mabingwa wa kuuvika huo wivu na roho mbaya sura fulani kama ua kujali wqzee, kujaki nyumbani.

Yani ntu anapiga fitna ya wivu na roho mbaya, halafu anakuja kwa gia ua kujali wazee, kujaki nyumbani, kupinga anasa za mjini.

Ni wajinga sana hawa watu.
 
Mimi nina vijana wengi wamewajengea wazazi wao hapo home wengine hela zimepitia kwangu mmoja yupo UK mwezi wa tatu anakabodhi nyumba kwa wazazi wake pana jamaa mmoja mshahara akipata alikua nusu home nusu anatumia hapa jamaa kila akigusa kitu mambo yananyooka yupo na Wajapan Tokyo mwezi wa tatu huu ikifika Desemba walio na maisha wengi kutoka hapa wanaacha magari kwa wazazi wao huko hawayauzi nimeshangaa jamaa wanakomaa eti unajengaje home wakati wewe ndio unatakiwa ufiche aibu kwa familia yako...

Nazani wengi hamuelewi kitu, Msisitizo mkubwa sio kutowajengea wazazi ila kwa sisi wazee wa kesho, tunasisitiziana kuplan mambo vzuri kujenga maisha ya sasa na baadae ili kupunguzia lawama na mizigo watoto.

Sio leo hii upo kijana, kila party upo, kila bata upo kila wasanii wakija upo, kila siku mpya unayo, kila demu mtaani unataka kula.

Mambo yanakuja kuharibika mwishoni umeshindwa kujenga/Kumiliki aasets ndo unaanza kusumbua watoto wako wanao jitafuta.
 
Sema tuwafundishe vijana wengine maana kama mimi namshukuru Mungu hiyo miguu nilishapambana na bado naendelea kupambana nipo na kampuni ya utalii Tanzania na inafanya vizuri,nauza parts za magari na magari huko Tanzania na kampuni ya kusafirisha mizigo kutoka SA kwa gari ndogo na Truck..nina makazi ya kudumu hapa na home nachagua wapi niishi unaponiquote jua upo na Legend kwenye life...
 
Kwa nini ujenge kwenu na sio kujenga kwako???

Ile sio nyumba ya vubei bali ile ni nyumba ya baba wa vubei, how come umlaumu mtu kutokwenda kujenga nyumba ya mwanaume mwenzie?

mi mwenyewe hata niwe na ukwasi sawa sawa na elon, siwezi kwenda kujenga kijijini kwetu, otherwise waniuzie nipamiliki ndio nitajenga maana ni kwangu sio kwa baba.

Jus imagine Mara paaaap!!!! Umefilisika majumba, mabiashara na bata la dar huliwezi tena, ukaamua ngoja nirudi kijijini, ukirudi kwenu kwenye nyumba uliyoijenga wakikustahi sana watakupa chumba kimoja ujistiri.

Na siku ikitokea inauzwa, hawatakuwa na huruma yoyote kwako
Mawazo ya kimasikini
 
Sema tuwafundishe vijana wengine maana kama mimi namshukuru Mungu hiyo miguu nilishapambana na bado naendelea kupambana nipo na kampuni ya utalii Tanzania na inafanya vizuri,nauza parts za magari na magari huko Tanzania na kampuni ya kusafirisha mizigo kutoka SA kwa gari ndogo na Truck..nina makazi ya kudumu hapa na home nachagua wapi niishi unaponiquote jua upo na Legend kwenye life...

Hahahahaha, Northing personal Mkuu.

Ila watoto wao wako na Heli sana, Hii ndo tunataka, Urithi utoke kwa Baba kwenda kwa watoto.

Au hatakama hakuna urithi kusiwe na mademu.
 
Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.

Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!

Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke.

Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake. Ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.
WAchagga ndio kabila Pekee wanajali kwao na wazazi wao. Sisi makabila mengine [mikonongo na chasaka] hatujali familia, mandugu zetu na hata kusomesha !
 
Back
Top Bottom