loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Mkuu sasa huo si mfano mmoja tu.Unajidanganya, ipo familia mzee mmoja alidhani kuzaa wengi ndo kuishi kifalme, 30+ uzao wake huo,, kinachompata sasa natamani nikupe namba yake akusimulie,
Nyumba tu hakuna anaejitolea kujenga sababu hawajui nani atarithi, hakuna mke ypyote anayeishi nae katika wote aliozaa nao,
Hakuna mtoto wala mjuku yoyote anayeishi nae,
Anajuta na kuwasihi wanae hasa wa kiume wasifate njia aliyopita yeye,,