Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hii ni point ndogo sana lakini huyo jamaa ana kichwa kigumu sana kuelewa.Mimi sijapinga suala la kumjengea mzazi. Napinga suala la watu kuona kwamba ni lazima ujenge.
Hii ni point ndogo sana lakini huyo jamaa ana kichwa kigumu sana kuelewa.Mimi sijapinga suala la kumjengea mzazi. Napinga suala la watu kuona kwamba ni lazima ujenge.
Zama hizi za mitandao ya kijamii, watu wengi ndivyo walivyo.Yani kweli kabisa umeenda msibani kwa watu kuwachunguza, kuwaanika na kuwatweza utu familia ya watu?
Umenielewa?Ahaha..We jamaa😄😄
Atakuwa analala kwenye kijumba change cha ujananiKama hao vijana hawakumjengea baba yao wamezingua sana, kwa hiyo miaka yote hiyo baba alikua analala wapi? nje au aliombewa hifadhi kwa jirani? 🙆♂️
Aah, mimi ndiyo maana nineamua kuzikwa Marekani.Zama hizi za mitandao ya kijamii, watu wengi ndivyo walivyo.
Hapo usikute kuna wanaosubiri kuona watalishwa chakula gani halafu ndo waanze kutangaza.
Wapo pia ambao lengo lao ni kuchunguza nani kaja na nani hajaja!
Hawatokosekana pia ambao dhumuni lao itakuwa ni kuchunguza nani kavaa nini, nani kapaka makeup, nani kaja na usafiri gani, n.k.
Huo ndo uhalisia wa watu kwenye jamii yetu.
Familia huwa zina mambo mengi sana!Ni sawa unachosema, Ila kwann usipojenga watu wakulaumu kama wanajua historia ya kimaisha ya Familia yenu?
Watu waache kufatilia mambo ya watu
Huyu mzushi tu kama wazushi wengine wa CCM mlivyo. Kesho nitakuwa msibani!!Watu wanakuchana Allen Kilewella kajenge kwenu
Kwa aina hii ya watu tulio nao kwenye jamii [na wapo wengi sana…..hata Samia keshaonyesha tabia ya aina hiyo], huo uamuzi wako ni mzuri tu na unaeleweka kabisa!Aah, mimi ndiyo maana nineamua kuzikwa Marekani.
Sitaki ujinga.
Last week kwenye msiba wa Mzee Mtei the whole thing turned into a political rally, with some very unnecessary and divisive words being uttered by some supposedly eminent thought leaders.Kwa aina hii ya watu tulio nao kwenye jamii [na wapo wengi sana…..hata Samia keshaonyesha tabia ya aina hiyo], huo uamuzi wako ni mzuri tu na unaeleweka kabisa!
Imagine Kiranga, siku ingine huwa Una Akili.Yani kweli kabisa umeenda msibani kwa watu kuwachunguza, kuwaanika na kuwatweza utu familia ya watu?
Elon Musk kajenga alipozaliwa?Kwahiyo mkuu, ni sababu gani haswa zinamfanya mtu mwenye uwezo kutojenga alipo zaliwa? Na kama alikuwa hayupo vizuri na mzee wake kiasi cha kushindwa kumjengea, mbona ameenda msibani? Si angesusa na msiba?
Daah kazi ipo hapa..Kwahiyo unataka kusema nikipata mchumba nikajenge kwa wazazi wangu ili mchumba akija akute mambo safi? Au sijakuelewa vizuri?
Watu wamezidi kuchunguzana.Kama wazazi wapo hai na umejipata,ni jambo jema kuwaboreshea mazingira!
Siyo zile lawama alikuwa anaangushiwa The Late Boss wa TANESCO et hakujenga kwao bila watu kujali alipata pesa wazazi wakiwa hai au la!
Kama wazazi walikufa ukiwa kapuku,ukamjengee nani kijijini ukijipata na ili iweje?
Hao si wana kijiji kabisa Irene nini kipo mbele ya Centurion pana hospital,shule ya watoto sehemu za kukimbia na farasi na taka taka nyingi zipo hapo...Elon Musk kajenga alipozaliwa?
Mkuu,Hii habari imepotoshwa Kwa 💯.
Maisha ya Mzee Ngajilo sisi tunaoyajua hatuwezi kuwalaumu Freddy Wala Fadhili.
Marehemu alikuwa mtu anayeishi maisha ya kutosheka na siyo kutamani yasiyo yake.
Halafu ushamba wa kuisema ile nyumba aliyokuwa anaishi unatokana na nini? Nyumba iliyojengwa miaka ya 70 ambayo Bado Iko imara mlitaka iweje?
Na anakokwenda kuzikwa ni shambani kwake na hakukuwa ni makazi yake. Sasa mlitaka shambani kuwe na nyumba isiyokaliwa ili mkija kuzika msifie?
Hawa kina Troll JF ndiyo wanaoeneza huu uzushi.
Wengi ya hawa ni kutoka Dodoma,Singida na Moro sio Mbeya au Arusha au mtu wa Kilimanjaro akazungumza hivi kwamba atakiwi kuwasaidia home...Hata bila kupata mchumba, walau nyumbani kwenu pawe panaonekana.
Yaani kama kulikuwa hakuna hata umeme, kwani ni mbaya kuweka umeme? Iwe tu kwamba unatoa msaada ili nyumbani nao wajione wanaishi. Wao kushindwa kujijenga kimaisha sio dhambi na adhabu ya wewe kutoboresha maisha yao.
Yaani watu hujifanya ujuaji sana!Hii habari imepotoshwa Kwa 💯.
Maisha ya Mzee Ngajilo sisi tunaoyajua hatuwezi kuwalaumu Freddy Wala Fadhili.
Marehemu alikuwa mtu anayeishi maisha ya kutosheka na siyo kutamani yasiyo yake.
Halafu ushamba wa kuisema ile nyumba aliyokuwa anaishi unatokana na nini? Nyumba iliyojengwa miaka ya 70 ambayo Bado Iko imara mlitaka iweje?
Na anakokwenda kuzikwa ni shambani kwake na hakukuwa ni makazi yake. Sasa mlitaka shambani kuwe na nyumba isiyokaliwa ili mkija kuzika msifie?
Hawa kina Troll JF ndiyo wanaoeneza huu uzushi.