Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
comment yako tu ikanifanya nikuite,lakini naheshimu mawazo yakoYes mkuu
asante.
comment yako tu ikanifanya nikuite,lakini naheshimu mawazo yakoYes mkuu
📌wewe umethibitishaje km ndo baba ake mzazi?Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.
Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!
Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke.
Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake. Ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.
Ila na wewe unapinga suala la kuwajengea wazazi, ndo tuseme na wewe unaamini kwenye ushirikina? Au sababu zako ni zipi haswa?Hata kama ni sababu za kishirikina. Ziheshimiwe kwasababu hazituhusu
..mkuu je una uhakika hiyo nyumba aliyokuwa anaishi baba yake ni mbaya kwa kiwango unachosema?.je baba yake aliwahi kulalamika mahali popote kuwa anaishi sehemu mbaya?..maana unaweza kuwa unafikiri makazi mazuri ni majumba makubwa ya ghorofa wakati sio preference ya kila mtu hasa wazee!..watu wengi wa vijijini hasa wazee wanapendelea kuishi mazingira waliyoyazoea na yasiyowafanya waonekane tofauti na wengine wa maeneo yao!..Sasa kama hana uhakika kwamba huyo ni baba yake, si angejikausha tu asiseme amefiwa na baba na wala asiende msibani?
Bado hujaleta sababu za nikwanini mtoto asimjengee mzazi. Unajificha kwenye kichaka cha, "zipo sababu." Ni zipi hizo sababu?
Hakuna mahali mimi nimesema nyumba nzuri ni gorofa. Nyumba nzuri inaonekanaga tu mkuu...mkuu je una uhakika hiyo nyumba aliyokuwa anaishi baba yake ni mbaya kwa kiwango unachosema?.je baba yake aliwahi kulalamika mahali popote kuwa anaishi sehemu mbaya?..maana unaweza kuwa unafikiri makazi mazuri ni majumba makubwa ya ghorofa wakati sio preference ya kila mtu hasa wazee!..watu wengi wa vijijini hasa wazee wanapendelea kuishi mazingira waliyoyazoea na yasiyowafanya waonekane tofauti na wengine wa maeneo yao!..
Kila mtu ajenge nyumba yake hata mimi kwetu sijajenga na wala sina mpango
..mkuu una maanisha nn kusema "nyumba nzuri inaonekanaga"?..kila nyumba ni nzuri endapo tu anayeishi ameridhika nayo..ukija na kigezo cha sijui "kuonekanaga" kuna mtu anaweza kusema hata nyumba unayoishi wewe ni mbaya haifai binadamu kuishi just because amewahi kuona & kuishi nyumba nzuri kuliko unayoishi..!.kukosoa makazi kwa vigezo vya muonekano wakati anayeishi hajawahi kuona shida ni kumkosea mwenye nyumba maana hata nyumba unayoishi wewe kuna watu wanaona haifai kabisa kuishi binadamu kitu ambacho hutapenda kusikia!Hakuna mahali mimi nimesema nyumba nzuri ni gorofa. Nyumba nzuri inaonekanaga tu mkuu.
Mzee Kiranga umemaliza yote niliyotaka kusema. Ubarikiwe sana.Mbwembwe za mjini ni haki ya kikatiba.
Kutojenga kwa baba ni haki ya kikatiba.
Kwanza tuachane na ujinga wa kuwabebesha watoto mzigo wa kuwajengea baba zao. Hayo ni maisha ya kimasikini. Baba anatakiwa awe kajenga kwake mwenyewe. Mtoto kumjengea baba liwe suala la hiyari.
Matatizo katika maisha ya baba unamlaumu vipi mtoto? Huelewi wapi kuwa ni wajibu wa baba kumhudumia mtoto, lakini si wajibu wa mtoto kumhudumia baba?
Wewe una maumivu kwa sababu mwenzako kakuzidi kwenye mbwembwe za mjini, ukaenda kumtafutia cha kumsema kwa baba yake, tena msibani, wakati inaonekana hata hujui uhusiano na baba yake ukoje.
Huu ni umbea tu wa kujipoza maumivu kwenye mashindano ya mbwembwe za mjini.
Mimi sijapinga suala la kumjengea mzazi. Napinga suala la watu kuona kwamba ni lazima ujenge.Ila na wewe unapinga suala la kuwajengea wazazi, ndo tuseme na wewe unaamini kwenye ushirikina? Au sababu zako ni zipi haswa?
Ahaha..We jamaa😄😄Hoja yako inaanza na logical fallacy.
Strawman argument logical fallacy.
Unaleta habari za mzazi kilema wakati hapa hatuzungumzii mzazi kilema.
Hii pia ni non sequitur logical fallacy.
Umekosea kanuni ya kulinganisha, kwamba unalinganisha habari ya mzazi kilema na mzazi asiye kilema.
Halafu unaendelea kutoa logical fallacy nyingine ya argument from ignorance ya "mimi sijaona mzazi anayekataa kujengewa nyumba".
Ukweli kwamba wewe hujaona haina maana hilo jambo haliwezekani. Inawezekana wewe huijui dunia tu. Hujaona mengi.
Usipende kuwapangia watu baki jinsi ya kuishi. Kubali kwamba kila mtu ana uhuru wa kuishi anavyotaka. Bilionea akikubali kwamba baba yake anaishi nyumba ya mbavu za mbwa, kwa sababu zao ambazo wewe huzijui na wala huna haki ya kuzijua, shika hamsini zako. Kama unapenda sana wazazi wajengewe, jengea wazazi wa kwenu. Kwani umekatazwa?
Wewe una mawazo ya kimasikini ya watoto kuwajengea wazazi. Haya ni mawazo ya kimasikini kwa sababu hujawaza kwamba kila mtu anaweza kubeba mzigo wa kujijengea yeye mwenyewe.
Ukiwaza mfumo wa wazazi kujengewa na watoto, una uhakika gani watoto watakuwepo kuwajengea hao wazazi?
Kuhusu msimamo wako, msimamo wako ni mujimu kwenye maisha yako, usiupe umuhimu sana msimamo wako kwenye maisha ya wengine.
Tatizo lako umejipa umuhimu usio nao katika maisha ya watu.
Ni lini utamiliki akili???Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.
Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!
Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke.
Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake. Ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.
Alikuwa anatamba kwamba amejenga sana kwao?Hapana Mkuu.
Nilitegemea kuona utofauti kidogo siyo kwa mbwembwe zile za Mjini anazotutambia mkuu, si Bora uishi key low profile tu, haya wasanii wanashangaa hata mademu aliowakula wanashangaa, hapa Iringa Mjini tunapishana na Magari ya wasanii na watu Maarufu tu, lakini na wao wameshangaa, eti Familia imegoma picha mgando na mjengeo zisichukuliwe.
Wajengeeni wazazi wenu acheni blaablaaUmeuita jina zuri-upuuzi
Nani kasema kuwasaidia wazazi ni dhambi?Lakini mkuu, hili suala usiliweke tu kwenye mizania ya mtoto kumjengea mzazi, lifikirie kwenye angle ya wenye uwezo kujitoa kusaidia wasio na uwezo.
Mbona hata kwenye makampuni kuna kitu wanaita corporate social responsibility (CSR). Utaratibu ambao makampuni ya kibepari wanatumia kuwainua masikini.
Sasa mtu ukiwa tajiri na wazazi wako masikini, kuna ubaya upi wa wewe kuwainua kiuchumi? Walale pazuri, bima ya afya, chakula kizuri, n.k
Yaani nashangaa hili suala la kuwasaidia wazazi kwa malazi linaonekana kuwa ni dhambi.
Wazazi hata siku moja hawatakuomba uwajengee nyumba. Ni wewe mwenyewe kujiongeza.
Hivi nikuulize swali: ina maana wewe kwenye maisha yako unawasaidia watu tu ambao wanakuomba msaada, au kuna watu hawakuombi msaada lakini unaamua kuwasaidia tu kwasababu unaona kabisa wanahitaji msaada?
Hayo ni mambo yao ya familia, mmewavamia watu katika mambo yao ya familia, bila savoir faire.Sasa kama hana uhakika kwamba huyo ni baba yake, si angejikausha tu asiseme amefiwa na baba na wala asiende msibani?
Bado hujaleta sababu za nikwanini mtoto asimjengee mzazi. Unajificha kwenye kichaka cha, "zipo sababu." Ni zipi hizo sababu?