Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.

Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!

Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke.

Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake. Ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.
Mkuu ishi maisha yako, acha kufuatilia maisha ya watu.
 
Mkuu,

Haya tangu mwanzo nilishayaona kuwa ni mashindano ya kijinga tu. Na ukinisoma hapo juu, ingawa famikia siijui, nikishatabiei kitu kama hiki.

Muda wa msiba badala ya kumfariji mfiwa, watu wanambagaza kwa mashindano ya kijinga.
Mzee alikuwa hataki kumtegemea mtu na wala nyumba yake siyo dhalili kama wanavyotaka hao wasimangaji ionekane.

Miaka yake ya mwisho alikuwa mlokole na ameacha nyumba kadhaa hapa mjini na hekari za kutosha za mashamba.

Mtu aliyekuwa anamiliki "Sisi Kwa sisi Guest House" miaka ya themanini unawezaje kusema kafa kimaskini?

Timu zote zilizokuwa zinakuja kucheza mechi hapa kwenye uwanja wa Samora zimeshawahi kulala kwenye guest yake hiyo.
 
Hapo juu nimemuuliza mtu kuwa anajuaje huyu baba hajaridhika na maisha yake tu na kukataa kujengewa?

Hakuwa na jibu la maana akajibu hajawahi kuona baba anayekataa kujengewa.

Basically an argument from ignorance logical fallacy.

Nikamwambia inawezekana hujawahi kuona kwa sababu huijui dunia tu, wewe kutowahi kuona bahari kwa sababu hujawahi kufika pwani haimaanishi bahari haipo.
 
Hii habari imepotoshwa Kwa 💯.

Maisha ya Mzee Ngajilo sisi tunaoyajua hatuwezi kuwalaumu Freddy Wala Fadhili.

Marehemu alikuwa mtu anayeishi maisha ya kutosheka na siyo kutamani yasiyo yake.

Halafu ushamba wa kuisema ile nyumba aliyokuwa anaishi unatokana na nini? Nyumba iliyojengwa miaka ya 70 ambayo Bado Iko imara mlitaka iweje?

Na anakokwenda kuzikwa ni shambani kwake na hakukuwa ni makazi yake. Sasa mlitaka shambani kuwe na nyumba isiyokaliwa ili mkija kuzika msifie?

Hawa kina Troll JF ndiyo wanaoeneza huu uzushi.
Umeandika kwa uchungu sanaa poleee
 
Kajenga Elon? Au kajenga baba yake? Au labda aliyejenga alikuwa babu yake?
Mnajadili matajiri kuwa na nyumba hawa wenzetu ishu ya nyumba kula kutibiwa washamaliza unakuta wana majengo Pretoria,Durban,Johannesburg na Cape Town aina ya majengo yanafanana wana viwanja vya vya ndege maeneo hayo na michezo mingine ya mbio za farasi.
Huku nyumba sio gharama sana kwa sababu vifaa vya ujenzi sio ghari kama home...
 
Hapo juu nimemuuliza mtu kuwa anajuaje huyu baba hajaridhika na maisha yake tu na kukataa kujengewa?

Hakuwa na jibu la maana akajibu hajawahi kuona baba anayekataa kujengewa.

Basically an argument from ignorance logical fallacy.

Nikamwambia inawezekana hujawahi kuona kwa sababu huijui dunia tu, wewe kutowahi kuona bahari kwa sababu hujawahi kufika pwani haimaanishi bahari haipo.
Kweli kabisa... Mzee alikuwa na kanuni ambazo familia nyingi hazina. Alikuwa anaamini maisha yake ni yake na ya watoto wake ni ya watoto wake.

Mtu hajui hata jinsi gani Freddy na Fadhili wanavyoishi lakini yupo hapa anapiga Domo.
 
Mnajadili matajiri kuwa na nyumba hawa wenzetu ishu ya nyumba kula kutibiwa washamaliza unakuta wana majengo Pretoria,Durban,Johannesburg na Cape Town aina ya majengo yanafanana wana viwanja vya vya ndege maeneo hayo na michezo mingine ya mbio za farasi.
Huku nyumba sio gharama sana kwa sababu vifaa vya ujenzi sio ghari kama home...
Hujajibu swali langu…
 
Vijana wa siku hizi anaenda kusalimia home na analala guest na kula huko huko maana mazingira ajayatengeneza ya yeye kula pale..
Sa ingine hawataki kabisa uwaondoe mazingira yale.
Bibi yangu RIP🙏,
Nilimpa 5000 tu akanunue chakula kakataa kabisa.
Kasema nataka tule wote tupike pamoja.
Huku kanikamata
Mle ndani aisee.kanunua Nyama,wali,ndizi,kula sana nikamuona anatabasamu lake lilelile.
"Ulintungulu fijho ughwe" kilugha
Akasema leo unalala hapa na mimi.
Tukatandika mkeka piga mbonji.
Sijamuona teena mpk leo.
Kwa mzee mdogo kulikua na bonge la nyumba umeme,maji bwelele lakini Bibi kaamua nikalale kwake, kajumba kadogo huku tunaota moto wa kuni.
Badae akafa mwanae then kafa nayeye in the same week.
Niliwaacha wazima wa afya nilipoondoka.
 
Wengi ya hawa ni kutoka Dodoma,Singida na Moro sio Mbeya au Arusha au mtu wa Kilimanjaro akazungumza hivi kwamba atakiwi kuwasaidia home...
Ukiamua kutojenga kwenu it’s ok. Lakini pia ukiishi maisha ya kupenda kuanikwa mitandao kuwa tayari pia, watu wakianza kuhangaika na “ambayo hayawahusu”. Unadhani muhusika angekuwa wa kawaida kama wengi wetu hapa, watu wangefunga safari kwenda Iringa? Wameenda kwa sababu ya umaarufu wake. Possibly hata tusingejua. Ila kwa sababu yeye ni don…ndo hivo tena.
 
Mbwembwe za mjini ni haki ya kikatiba.

Kutojenga kwa baba ni haki ya kikatiba.

Kwanza tuachane na ujinga wa kuwabebesha watoto mzigo wa kuwajengea baba zao. Hayo ni maisha ya kimasikini. Baba anatakiwa awe kajenga kwake mwenyewe. Mtoto kumjengea baba liwe suala la hiyari.

Matatizo katika maisha ya baba unamlaumu vipi mtoto? Huelewi wapi kuwa ni wajibu wa baba kumhudumia mtoto, lakini si wajibu wa mtoto kumhudumia baba?

Wewe una maumivu kwa sababu mwenzako kakuzidi kwenye mbwembwe za mjini, ukaenda kumtafutia cha kumsema kwa baba yake, tena msibani, wakati inaonekana hata hujui uhusiano na baba yake ukoje.

Huu ni umbea tu wa kujipoza maumivu kwenye mashindano ya mbwembwe za mjini.
Au mkuu hujawajengea wazazi ndio maana unatetea sana?
 
Mtasema meeeeeengi.

Mtasema kila mtu ajenge kwake.

Mtampomda mleta mada.

Ila kama umepata pesa, usisahau kwenu, kijijini kwenu.

Mimi siyo mchagga, ila hapa ndio WACHAGGA na WAHAYA huwa wanajinyakulia MA-POINT ya bure bure.
 
Mzee wangu town ana nyumba tano yaani Kila mtoto amemjengea..Hii ni fact by the way ile NYUMBA HATI NA KILA KITU NI CHANGU..ILA HUWA SI IHESABU KAMA NI YANGU.

MZEE WANGU HAJAJENGA KWAO SO LIKITOKEA LA KUTOKEA KULE KIJIJINI MTU AKIENDA NDIO YANAKUA KAMA HAYA YA FRED VUNJABEI😔

Leo ni Jan 2026 ndio now tunachangishana ili tuezeke walau kajumba ka maana KULE KIJIJINI KWETU..

NI KICHEKESHO SABABU WATU WANAO TUONA HUKU MJINI SIKU IKIBIDI WAKAONE CHIMBUKONI KWETU KIJIJINI WATACHEKA SANA KAKA NDEGE SIO POWA
Mkuu nataka tu nikufariji kuwa binadamu wote kabla ya kuanza kuwa na nyumba na Mali hatukuwa na kitu maana sote tulikuwa nyani na hatukuwa na nyumba.

Hata mababu naababu wa Mo Dewji na Bakhresa walikuwa sokwe na walipendelea kuishi juu ya miti bila nguo.

Kwa hivyo, kitu Cha muhimu zaidi ni sisi ambao tunaendelea kuishi kuanza kufanya maendeleo makubwa maana zama zimebadilika.
 
Sa ingine hawataki kabisa uwaondoe mazingira yale.
Bibi yangu RIP🙏,
Nilimpa 5000 tu akanunue chakula kakataa kabisa.
Kasema nataka tule wote tupike pamoja.
Huku kanikamata
Mle ndani aisee.kanunua Nyama,wali,ndizi,kula sana nikamuona anatabasamu lake lilelile.
"Ulintungulu fijho ughwe" kilugha
Akasema leo unalala hapa na mimi.
Tukatandika mkeka piga mbonji.
Sijamuona teena mpk leo.
Kwa mzee mdogo kulikua na bonge la nyumba umeme,maji bwelele lakini Bibi kaamua nikalale kwake, kajumba kadogo huku tunaota moto wa kuni.
Badae akafa mwanae then kafa nayeye in the same week.
Niliwaacha wazima wa afya nilipoondoka.
Daah pole sana kikolo ninyi ni upande wa Mama yangu huko ushirika, Kisa kama sisi tumechanga tumejenga nyumba ya Babu ingine maana tupo wengi watu wanajadili nyumbani kwao si hatari hiyo aisee...
Wanyakyusa hii miguu ya kujenga home walimaliza kitambo sana..
 
Au mkuu hujawajengea wazazi ndio maana unatetea sana?

I do not mean to brag, but since you asked.

Soma post namba 73 nimeweka habari zangu.

Post in thread 'Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana' Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Mwaka jana S.S Bakhressa kaifuata familia yangu akitaka kununua property moja ya baba yangu kwa US $ 3 million, familia ikamkatalia.

Baba yangu alijenga alipotokea na Dar kabla mimi sijazaliwa.

Ana mansion Mbezi Beach hajui cha kuifanya anataka kuifanya hostel ya kusaidia watoto yatima.

Sasa mtu kama huyo namsaidiaje kwa kumjengea nyumba?

Ana nyumba in the most posh suburbs of Dar and other towns in Tanzania.

His real estate portfolio is easily over $5 million. And that is a conservative guesstimate counting houses, not land and farms.

Mimi pia nilijenga kabla ya kuwa na mtoto, kwa kufuata mfano huo.

Naeleza maisha niliyoishi, ninayoishi, naeleza falsafa ya kukataa umasikini wa wazazi kuwatumia watoto kama kitegauchumi.

Mimi pia nimekataa umasikini huo wa kujengewa nyumba na mtoto, ndiyo maana nilijenga nyumba kabla ya kuzalisha mtoto.

Ila wabongo wengi hamuelewi abstract thought, hamuelewi fikra ya kidhahania. Mtu akipinga umasikini, kifalsafa, mnamuona anapinga hivyo kwa kuwa yeye ni masikini.

Kwani mzungu hawezi kupinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi kifalsafa tu, akipinga ni lazima awe mweusi aliyebaguliwa yeye personally?

Very ironic.

Kama unaukumbatia umasikini huo, huwezi kunielewa.
 
Hii habari imepotoshwa Kwa 💯.

Maisha ya Mzee Ngajilo sisi tunaoyajua hatuwezi kuwalaumu Freddy Wala Fadhili.

Marehemu alikuwa mtu anayeishi maisha ya kutosheka na siyo kutamani yasiyo yake.

Halafu ushamba wa kuisema ile nyumba aliyokuwa anaishi unatokana na nini? Nyumba iliyojengwa miaka ya 70 ambayo Bado Iko imara mlitaka iweje?

Na anakokwenda kuzikwa ni shambani kwake na hakukuwa ni makazi yake. Sasa mlitaka shambani kuwe na nyumba isiyokaliwa ili mkija kuzika msifie?

Hawa kina Troll JF ndiyo wanaoeneza huu uzushi.

Narudia tena
Utamaduni wa kupenda makwao tuwaachie watu wa KILIMANJARO!
Mikoa mingine karibia yote ni majanga!
Unaweza kuta Wazazi wanakaa nyumba imechoka, hawana maji, umeme nk huku vijana wana tanua mjini
 
Back
Top Bottom