Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Ila tajiri mkubwa Fred Vunjabei, yaani hata nyumba ya milioni 100 ameshindwa kumjengea baba yake?

Hakuna utetezi wa kutojenga nyumbani kwa wazazi
Unajuaje kashindwa na si kwamba hakutaka?

Unaelewa tofauti ya kushindwa na kutotaka?

Unajua historia ya ndani ya familia yao na sababu zake kuacha hivyo?
 
Unajuaje kashindwa na si kwamba hakutaka?

Unaelewa tofauti ya kushindwa na kutotaka?

Unajua historia ya ndani ya familia yao na sababu zake kuacha hivyo?
Kwahiyo mkuu, ni sababu gani haswa zinamfanya mtu mwenye uwezo kutojenga alipo zaliwa? Na kama alikuwa hayupo vizuri na mzee wake kiasi cha kushindwa kumjengea, mbona ameenda msibani? Si angesusa na msiba?
 
Hawawezi kosa nyumba nzuri tuu ya maana,

Ila walio wengi ni kwenda kutizama kuna nyumba, uhusiano wa familia na kilioondoa uhai wa mwendazake,,

cc secretarybird ujenge kwenu huko urangini de umbwaz
Mkuu wala Sina mpango wa kujenga kwetu maana makazi yangu siyo hapa duniani. Kwanza nipo ili nife, yaani niache kutengeneza njia ya kwenda peponi kuenjoy mabikra 72 kisa nyumba ambayo sitakuwa nayo milele?

Hapana bhana!
 
Wapi imeandikwa kwamba - Kujenga nyumbani ni lazima? Uko kishambenga na kiwivuwivu na roho ya gubu nakuona kabisa..
Busara kuu ni kutafuta Kwa bidii,ukajenga nyumba ya kuishi wewe na familia yako kwanza,mengine ni ziada tu na mbwembwe zisizo na unyeti wowote:'Charity begins at home'....
-Na Kwa huo unazi wako wa USHIRIKINA ni wewe hapo umemuroga Baba wa Mwenzako..Adhabu yako kwetu Mwanhuzi huku,baada ya mazishi tungekutumia - Batemaguji- Ukatwe Katwe Kwa mapanga yale yenye Shingo ndefu iliyochongoka nchani Kwa kwenda juu.Hiyo ndiyo dawa yenu wachawi.
 
Mimi namfahamu kaka yake mkubwa ambae kwa sasa ni mbunge wa iringa mjini ndugu fadhili Fabian ngajiro kaka wa Fred Fabian ngajiro

Kuhusu kujenga nyumbani hata sisi kwetu ni kichekesho
Hakuna ufahari wa kutojenga nyumbani. Huko vijijini hata ukituma milioni 10 wanaweka garden nzuri nyumbani panakuwa hata panatamanika
 
Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.

Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!

Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke.

Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake. Ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.
Jali maisha yako,mambo ya watu yaache
 
Kwanini Mzee yeye hakujenga yake?
Hakuwa na uwezo. Na hiyo haiwezi kuwa sababu ya mtoto kutomjengea mzazi. Yaani akili gani mtu unatumbua hela na makahaba halafu eti unashindwa kujenga kwenu nyumba hata ya milioni 50. Ina maana huo ndo ujanja?

Kwenu pawe kama dampo halafu wewe unawafurahisha makahaba wa mjini.
 
Sasa unajuaje wewe Kama Mtoto anaouwezo wa kumjengea nyumba Baba yake?!Kwanini usiwaze pia mtoto uwezo wake unaishia kutumbua na Makahaba tu au kwako hayo siyo matumizi?
 
Kwahiyo mkuu, ni sababu gani haswa zinamfanya mtu mwenye uwezo kutojenga alipo zaliwa? Na kama alikuwa hayupo vizuri na mzee wake kiasi cha kushindwa kumjengea, mbona ameenda msibani? Si angesusa na msiba?
Sababu za ndani ya familia ni vigumu kuzijua kama haupo ndani ya familia.

Na mtu kukosana na mzazi wake kiasi cha kukataa kumjengea nyumba haina maana ni lazima atakataa kwenda kwenye msiba.

Kwa sababu inawezekana akawa kakosana naye kiasi fulani, lakini hata kuongea naye anaongea naye, anamtembelea, ila si kwa kiasi cha kumjengea nyumba, na si kiasi cha kususa kumzika.

Na pia si lazima kukosana na mzazi ili kukataa kumjengea, inawezekana mtu kakataa kifalsafa tu kumjengea mzazi wake, au mzazi mwenyewe karidhika na maisha yake hataki makubwa.

Sasa kama haupo katika familia na hujui yote hayo, unaanzaje kum judge mtu kwa kutomjengea mzazi wake?

Hii ni tabia ya kimasikini, ya kijima.

Naona kuna hoja ya kimasikini sana ya kuwabebesha watoto mzigo wa kuwajengea wazazi wao.

Mzazi anatakiwa kujenga kwake yeye mwenyewe, si amtegemee mtoto.

Mimi mwanangu hana mzigo wa kunijengea kwangu, kwa sababu nishajenga nyumba kabla yeye hajazaliwa. In fact katika mpango wa maisha nilipanga siwezi kuwa na mtoto bila ya kuwa na nyumba. Sikutaka kuwa na mtoto bila kupanga maisha yake. Na sehemu ya kupanga ilikuwa si tu kuwa na nyumba, bali kuwa na nyumba yangu sehemu nzuri inayofaa kwa malezi ya mtoto.

Mimi sina mzigo wa kumjengea baba yangu kwao, kwa sababu kabla mimi sijazaliwa alishajenga kwake alipotoka na Dar es salaam.

Sasa kama baba kashindwa kujenga kwake, au hataki mambo yenu ya nyumba za anasa yeye karidhika na maisha yake, mtoto akapigana akafanikiwa, kwa nini mnampa mtoto mzigo wa kujenga kwake na kwa baba yake?

Mnajua historia ya huyo baba na nyumba zake alifanya nini huko nyuma?

Yani mnakariri maisha kwamba mnavyojua nyie maisha ya kijimajima na kitumwatumwa, mtoto amfanyie kazi mzazi, mnataka kila mtu aishi hivyo?

Acheni fikra za kimasikini.
 
Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.

Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!

Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke.

Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake. Ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.
Nina mambo mawili;
1. Acha umbea
2. Weka picha ya umbea wako
 
Kichekesho kivipi kaka. Au familia yenu ina comedians wengi?
Mzee wangu town ana nyumba tano yaani Kila mtoto amemjengea..Hii ni fact by the way ile NYUMBA HATI NA KILA KITU NI CHANGU..ILA HUWA SI IHESABU KAMA NI YANGU.

MZEE WANGU HAJAJENGA KWAO SO LIKITOKEA LA KUTOKEA KULE KIJIJINI MTU AKIENDA NDIO YANAKUA KAMA HAYA YA FRED VUNJABEI😔

Leo ni Jan 2026 ndio now tunachangishana ili tuezeke walau kajumba ka maana KULE KIJIJINI KWETU..

NI KICHEKESHO SABABU WATU WANAO TUONA HUKU MJINI SIKU IKIBIDI WAKAONE CHIMBUKONI KWETU KIJIJINI WATACHEKA SANA KAKA NDEGE SIO POWA
 
Hakuna ufahari wa kutojenga nyumbani. Huko vijijini hata ukituma milioni 10 wanaweka garden nzuri nyumbani panakuwa hata panatamanika
Ujue sisi wazee walipuuza kwao kujenga sababu ENZI IZO UCHAWI KULOGANA WAKAPAACHA..

SIO KUA HAWAKUA NA UWEZO LA HASHA HAWAKUPENDA KUJENGA KULE KIJIJINI..

BINAFSI KUWA MKWELI NDIO KWANZA JAN 2026 NDIO TUMEANZA KUCHANGISHANA KUJENGA..

Ndio tunataka kuezeka walau kidogo tuwe na kijumba cha maana pale kijijini kwetu .
 
Sababu za ndani ya familia ni vigumu kuzijua kama hupo ndani ya familia.

Na mtu kukosana na mzazi wake kiasi cha kukataa kumjengea nyumba haina maana ni lazima atakataa kwenda kwenye msiba.

Kwa sababu inawezekana akawa kakosana naye kiasi fulani, lakini hata kuongea naye anaongea naye, anamtembelea, ila si kwa kiasi cha kumjengea nyumba, na si kiasi cha kususa kumzika.

Na pia si lazima kukosana na mzazi ili kukataa kumjengea, inawezekana mtu kakataa kifalsafa tu kumjengea mzazi wake, au mzazi mwenyewe karidhika na maisha yaje hataki makubwa.

Sasa kama haupo katika familia na hujui yote hayo, unaanzaje kum judge mtu kwa kutomjengea mzazi wake?

Hii ni tabia ya kimasikini, ya kijima.

Naona kuna hoja ya kimasikini sana ya kuwabebesha watoto mzigo wa kuwajengea wazazi wao.

Mzazi anatakiwa kujenga kwake yeye mwenyewe, si amtegemee mtoto.

Mimi mwanangu hana mzigo wa kunijengea kwangu, kwa sababu nishajenga nyumba kabla yeye hajazaliwa. In fact katika mpango wa maisha nilipanga siwezi kuwa na mtoto bila ya kuwa na nyumba. Sikutaka kuwa na mtoto bila kupanga maisha yake. Na sehemu ya kupanga ilikuwa si tu kuwa na nyumba, bali kuwa na nyumba yangu sehemu nzuri inayofaa kwa malezi ya mtoto.

Mimi sina mzigo wa kumjengea baba yangu kwao, kwa sababu kabla mimi sijazaliwa alishajenga kwake alipotoka na Dar es salaam.

Sasa kama baba kashindwa kujenga kwake, au hataki mambo yenu ya nyumba za anasa yeye karidhika na maisha yake, mtoto akapigana akafanikiwa, kwa nini mnampa mtoto mzigo wa kujenga kwake na kwa baba yake?

Mnajua historia ya huyo baba na nyumba zake alifanya nini huko nyuma?

Yani mnakariri maisha kwamba mnavyojua nyie maisha ya kijimajima na kitumwatumwa, mtoto amfanyie kazi mzazi, mnataka kika mtu aishi hivyo?

Acheni fikra za kimasikini.
Hoja yako inakosa uhalisia. Fikiria kuna watu wamezaliwa na wazazi vilema, wanaishi kijijini huko, nyumba mbavu za mbwa. Halafu inatokea mtoto ufanikiwe na baada ya hapo usiyabadilishe hayo maisha ya wazazi wako kweli?

Mi sijawahi kuona mzazi anakataa kujengewa nyumba na mtoto wake. Hiyo nadhani umeisema kama assumption tu kwamba, labda baba yake alikataa kujengewa.

Halafu inatia kinyaa, yaani mtu bilionea halafu eti mzee wako anaishi mbavu za mbwa, mabati yameegeshwa kwa mawe badala ya misumari. Halafu bilionea umekuja msibani na gari ya milioni 500. Hiyo kwako wewe ndo akili ya kitajiri?

Mimi wacha nibaki na mawazo ya kimaskini ya kujenga nyumbani kwa wazazi, wewe baki na mawazo ya kitajiri kwamba sio muhimu kujenga kwa wazazi, wacha waendelee kulala nyumba mbavu za mbwa, mimi nakula bata mjini, natumbua na warembo, niwahonge mamilioni!

Msimamo wangu ni ule ule: hakuna sababu itamfanya mtu kutojengea wazazi--hakunaa!
 
Back
Top Bottom