BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Pengine zile
ambazo angetumia kujenga alikusomesha WEWE, unamsemaje Leo hii? Tujifunze kuwaheshimu wazazi kama kibunda KIPO mpe? Chake ulitumia WEWE, huenda angetumia YEYE Leo hii asinge kuwa HIVO alivoWatu tunatofautiana, mie kipato changu kinaendana na maisha ya kwetu na ndugu zangu, na kikiongezeka zaidi basi kwetu kutanoga zaidi...
Kuna shida gani kumjengea mzee vi apartment akawa anakula kodi, mie niwe namiliki ukwasi wa karibia bilioni1,3,5 ama 10, haiwezekani mzee wangu akose kibanda hata cha milioni 30, eti kisa ye alikuwa wapi kujenga, kwangu hapana, ye hakubahatika kuzipata sasa mimi ninezipata kwangu naona ni wajibu yeye aishi vizuri