Ndo namshangaa uyu mzee sisi kwa sisi ni tajiri wa miaka mingi ana mashamba ya miti huko njombe makubwaaa.ata apo mjini kajenga sana tuu sema apo kwenye iyo Lodge ya sisi kwa sisi ndo maarufu sababu ata simba na yanga hufikia hapohuyo mzee ni tajiri kuliko huyo unayesema amjengee ni vile unakaa online na haumfahamu mzee
Nilichogundua Watanzania wengi wanaishi kwenye kundi la Umasikini haiwezekani wanajadili kitu cha chini ya 80m kama familia na wanakomaa hapana kwani lazima.Huu ni ujinga
Wapi wameshindwa??Mbona watu wa Kaskazini wa Kilimanjaro na Arusha wameweza, mbona Mzee Mengi alijenga hekalu kijijini na hakuwa na show off, huyu jamaa ni msumbufu tu hapa Mjini biashara za ulozi na uchawi tu, chini ya kapeti marehemu katolewa kafara
Kwa nini mnawakasirikia na kuwaonea wivu makahaba na mabinti wa chuo wasiowahusu??HUWEZI ukawa unatutambia Mjini wewe Bilionea na unahonga makahaba, halafu Dingi hujaweka makazi yake vizuri, karibu kwetu huku Machame nikuoneshe mahekalu ya real Bilionea ambao ni low profile uone walivyojenga nyumba za baba zao mashambani baada ya hapo nitakupeleka kwa Mzee Mengi ukaone Hekalu lake lililopo kijijini. Hao ndiyo real Bilionea siyo kutusumbua Mjini kwa kuhonga honga machangudoa na vitoto vya Chuo, chini ya kapeti huyo Bilionea wenu inasemekana keshaunganishwa kwenye gridi ya Taifa hayo ndiyo yanayojiri msibani
Tena heri nyie wa kiume mnapewa kachumba ka kujisitiri, sie wa kike ndo nehiii utalala kibarazani,,,Kwa nini ujenge kwenu na sio kujenga kwako???
Ile sio nyumba ya vubei bali ile ni nyumba ya baba wa vubei, how come umlaumu mtu kutokwenda kujenga nyumba ya mwanaume mwenzie?
mi mwenyewe hata niwe na ukwasi sawa sawa na elon, siwezi kwenda kujenga kijijini kwetu, otherwise waniuzie nipamiliki ndio nitajenga maana ni kwangu sio kwa baba.
Jus imagine Mara paaaap!!!! Umefilisika majumba, mabiashara na bata la dar huliwezi tena, ukaamua ngoja nirudi kijijini, ukirudi kwenu kwenye nyumba uliyoijenga wakikustahi sana watakupa chumba kimoja ujistiri.
Na siku ikitokea inauzwa, hawatakuwa na huruma yoyote kwako
Unajidanganya, ipo familia mzee mmoja alidhani kuzaa wengi ndo kuishi kifalme, 30+ uzao wake huo,, kinachompata sasa natamani nikupe namba yake akusimulie,Mkuu wanabadilika hata ukiwalea vizuri. Ni vizuri uwe na watoto zaidi ya wanne. Angalau wote hawatabadilika mmoja atakukumbuka.
Nimeshuhudia kwa macho yangu kwa jirani yangu.
Wewe dg kwani we uko wapiWaafrika wengi washakubali umasikini wa kutumia watoto kama mafao ya uzeeni.
Mara nyingi mzazi badala ya kujenga nyumba kabla ya kuzaa mtoto, ili hata mtoto akue kwenye mazingira mazuri, mzazi anazaa mtoto kwa matumaini kwamba huyo mtoto ndiye atakuja kumjengea nyumba mzazi.
Hii ni hoja ya kijinga sana. Halafu ishakubalika na watu wengi sana.
Nitajenga kwangu si kwetu.Kaaaazi kweli kweli cc secretarybird wewe mnyaturu mix mgogo ujenge kwenu
Nilichogundua Watanzania wengi wanaishi kwenye kundi la Umasikini haiwezekani wanajadili kitu cha chini ya 80m kama familia na wanakomaa hapana kwani lazima.
Machawa Wakina ChoiceVariable ERTUGRUL BEY Troll JF funaku Lucha wanasema uchumi ni mzuri sana na unameremeta na watu wameshiba wamejaza matumbo ndi.Nilichogundua Watanzania wengi wanaishi kwenye kundi la Umasikini haiwezekani wanajadili kitu cha chini ya 80m kama familia na wanakomaa hapana kwani lazima.
Hii ndio tabia ya sasa TanzaniaYani kweli kabisa umeenda msibani kwa watu kuwachunguza, kuwaanika na kuwatweza utu familia ya watu?
Raia wangapi marekani wamejenga na kuwajengea wazazi?Machawa Wakina ChoiceVariable ERTUGRUL BEY Troll JF funaku Lucha wanasema uchumi ni mzuri sana na unameremeta na watu wameshiba wamejaza matumbo ndi.
Mnaitamka USA kama vile unaitamka Somalia hizo Nchi mambo ya makazi,kula kusafiri walimaliza karibu karne kadhaa nyuma wazee..Raia wangapi marekani wamejenga na kuwajengea wazazi?
Fanya kazi kijana huwezi kufaniwa kwa kushinda JF kuilaumu serikaliMachawa Wakina ChoiceVariable ERTUGRUL BEY Troll JF funaku Lucha wanasema uchumi ni mzuri sana na unameremeta na watu wameshiba wamejaza matumbo ndi.