Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Bora kwa nani?Kumjengea Baba Yako nyumba kama watu wa Kaskazini wa Arusha na Kilimanjaro wanavyofanya huko vijijini kwao na kwenda kuhonga Malaya Kila siku mamilioni kipi Bora?
Kwa mpenda kuhonga malaya au kwa mpenda kujenga kwao?