Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Sisi wengin wazee wetu wanakuambia kajenge kwako , zaidi labda kufanya ukarabati tu ila hawataki ujenge
 
Siku ile ya October 29 vijana walitoka majumbani mwao kwenda kuchoma mali za Diamond, akili za kilofa sana.

Diamond mwaka huu kaalikwa jukwaani na Fally Ipupa, aliyechoma mali zake kapata kitu gani?.

Vijana wanateseka sana na maisha ya watu. Hicho ni kielelezo cha umaskini wa Taifa zima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…