Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mwangalie alivyokaa. Body language tu inamdhalilisha utadhani kakutana na master wake. Hapo kulikuwa hakuna namna. Mwarabu Sheikh LAZIMA neno lake liwe juu ya sheria ya Tanzania.Umechelewa jamvini karamu imeshaliwaππΎ
Sheikh Mohammed bin Rashid meets Tanzanian President at Expo 2020 Dubai
Vice President and Ruler of Dubai and Samia Suluhu Hassan discussed ways to boost co-operation between their countries during talks
Sheikh Mohammed bin Rashid, Vice President and Ruler of Dubai, meets Tanzanian President Samia... Suluhu Hassan, at Expo 2020 Dubai. All photos: Dubai Media Office
Unaelewa maana ya neno "kwa kuanzia tu ? tena kwenye tehama tu.Hiyo ni 1.2t, sio hela ya kutisha kwa hivyo. Labda uwaambie wasiojua chochote ndio wataona ni hela ya maana.
Kinyume chake....tumeharibikiwa mengi sana kupitia G.O...tubaki tu nao katika masuala ya usalama ,mahakama na bunge.....Hapana, siyo "kulala"; pamoja na maelezo hayo yanayoonekana kuwa mazuri kama umelaza akili, Profesa naye anasema uongo humo humo ndani yake.
Hii dhana ya 'Private sector' pekee ndiyo yenye uwezo wa kuendesha bandari kaitoa wapi? Ni msahafu toka peponi uliotelemshwa kwake, au kakaririshwa tu awe anauimba kila mahali?
Usinielewe kuwa napinga 'private sector', lakini siamini jambo hilo kuwa kama ndio hitimisho la suluhisho.
Hujui unachokisema. Ma-ushungi atalipa gharama kubwa sana.Maliza matusi yote...[emoji1787][emoji1787]
DP WORLD wapoooo[emoji7]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
AlhamduliLlah Uislam unatufundisha unyenyekevu na kujishusha.Mwangalie alivyokaa. Body language tu inamdhalilisha utadhani kakutana na master wake. Hapo kulikuwa hakuna namna. Mwarabu Sheikh LAZIMA neno lake liwe juu ya sheria ya Tanzania.
Toka wazungu waanze kuchimba Madini kule Mwadui kabla ya uhuru wamekoma lini ?!!![emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Lundo la watu nakuambia over 50Millions wote hatuwezi endesha Jambo dogo kama hilo 'Bandari' mpaka tutafute eti wawekezaji. Watufanyie sisi hatuwezi, Kama vile ni walemavu.
Kwenye hiyo wamejumuisha na;DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Na Sheikh siyo Muislamu? Hiyo nafasi imempwaya. Akamyenyekee mumewe nyumbani. Jinga sana wewe.AlhamduliLlah Uislam unatufundisha unyenyekevu na kujishusha.
Uislam. Ni mwema sana.
Dah!Toka wazungu waanze kuchimba Madini kule Mwadui kabla ya uhuru wamekoma lini ?!!![emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nchi yako ya mfukoni mwako?!!Wazanzibar tuacheni na nchi yetu
Sasa maza ako kuuza kashamba kake hapo Masasi inatuhusu nini sisi wengine?!!![emoji1787][emoji1787]Maza ameshauza tayari
ππππππππππ"Mkuu upo jf kitambo, ongea na da Faiza foxy niliona hashtag zake kuhusu DP world anipe connection tupo wawili. Tuna uwezo wa kupush agenda san mitandaon, mtaan njaa kali angalau tuingizwe kweny payroll mkuu! Ahsnt." Huu ni ujumbe jamaa kanitumia DM nimeona niulete kwako bi Faiza. Wasalaam!!
Yani mimi nashangaa mpaka leo, yani miaka 60 ya uhuru serikali imeshidwa kujenga shule za secondary na primary,Mwendokasi hapo mnasimamisha watu kama maroboto ya pamba na kujaza mbuzi, kamradi kadogo tu kamewashinda mambo makubwa mtaweza?