Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Kwa ubishani uliopo wa kumpinga mama Samia, bila sababu yoyote ya maana, umenifanya niamini Watanzania tumejaa chuki uhasidi na roho mbaya...

Hao wanaouipinga huo mkataba wa Bandari hawajawahi kufanya hata ishu yoyote ya Ku clear hata mzigo Bandarini yaani hata kusafiri kwa boti ya Azam kwenda Zanzibar.

Sasa sijui ni kipi kinachowafanya wanapiga kelele kuhusu mkataba wa bandari. Hata kuusoma hawajausoma yaani ni yale maneno ya Viongozi wa Upinzani ambayo sijui kama ni ukweli au ni propaganda.
 
Anajua akiuza huku nchi atarudi kwao Makunduchi
 
Udini tuu umekukaaa Huna kingine

Zaidi ya kuchangia kwa kihisia za Dini yakoo

Hakuna asiye kujua

Ungana na mama yako anyeonge maneno ya kutia hurum huko Mwanza
Ma shaa Allah, ni vyema umeliona hilo. Najivunia kuwa Muislam na kuwatetea Waislam wenzangu kwenye haki.

Wewe unaumia kwa Uislam wangu?
 
A staggering TZS 1.5 TRILLION!!!!
 
500ml$ ni za uwekezaji, sio kwamba anatoa sada kalawe, na pia inabidi zirudi Kwa muda Fulani walio jiwekea
 
Niwe mkweli tu mi nawakubali DP World.

Tuache siasa
Siasa haziwezi kuacha kuwepo kwa sababu Mama ametisha mno kwenye dili hili! Wewe mtu akikutishia huwa unakaa kimya?
 
Sana tena, najivunia dini yangu ya Uislam.

Wewe liinakuumiza hilo?

Na wewe jivunia imani yako au unaona haya, una imani ya paka kunya mavi kujipaka?
jinga wewe udini utakuua, unaishi maisha magumu haswa sababu ya uvivu wako, mabibi wenzako wanafanya kazi wewe kutwa kusifia ujinga badala ya kulinda rasilimali za nchi.
 
Lundo la watu nakuambia over 50Millions wote hatuwezi endesha Jambo dogo kama hilo 'Bandari' mpaka tutafute eti wawekezaji. Watufanyie sisi hatuwezi, Kama vile ni walemavu.

Mmeendesha wenyewe for over 50yrs mmefikia wapi kama nchi jirani zote zimekimbilia Mombasa?
 
AlhamduliLlah, Uislam unatufundisha kukaribisha yeyote mwenye kutafuta maisha. Tunafahamu huwezi kuhama kwenu kama hakuna dhiki.


Uislam ni mwema sana.
Mnashinda kucheza bao watu wanakuja wanatajiri, tafuta muislamu tajiri(mtanzania halisi) tofauti na waarabu na wahindi, taja hata mmoja
 
Naona umelamna kitengo kimyakimya halafu hata hatutonyani!
 
Ma shaa Allah, ni vyema umeliona hilo. Najivunia kuwa Muislam na kuwatetea Waislam wenzangu kwenye haki.

Wewe unaumia kwa Uislam wangu?
Sawa wakati unachangia mambo ya public usiletee hisia zakoo

Kulinga na imani hakoo mkuu
Jitahidi najua kila mtuu anamapenzi ya dini yake lkn zui kuchangia publicly kiimani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…