Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Hiyo haiondoi ukweli kwamba mkataba uliopo sasa ni batili na haukubaliki. Wanaweka na wanaweza kuweka zaidi kwa kuwa ni chao wanafaidika wao! Mkataba urekebishwe uendane na matakwa yetu.
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Mvivu na mjinga siku zote kazi yake kusifia vya wengine hata kama yeye mwenyewe anauwezo wa kufanya
 
Bandari ya Zanzibar alikotokea Sa100, haihitaji uwekezaji huo?
Dubai kajipanga kwa ajili ya mzigo wa madini kutoka DRC na Rwanda, huko Zanzibar yapo hayo madini anayoyafuata huko kwa majirani zetu wa Congo?.

Ni akili ya kawaida tu inayopaswa kutufungua macho ili tuondokane na hizi chuki za kitoto.
 
Ulikuwa muted muda mrefu mpaka watu humu wakaanza kuulizana uko wapi ilibaki kidogo watangaze tanzia ila toka hili sakata la waarabu wenzako (though wewe mweusi kama lami) lianze naona upo nginja nginja jukwaa zima unakata mauno kila siku unatoa post mpya kuwasifia.

Umepewa bei gani maana juhudi hizi siyo za mtu aliyekuwa hajalipwa.
Huyu mjinga yeye chochote ambacho kinasimamiwa na muislam mwenzake yupo tayari kukitetea kwa nguvu zote.
 
Asalaam akeykum Bi FaizaFoxy ? Unajua akili nyingi za Watanzania ni fuata upepo hasa kwa wale Wanasiasa ambao hawapo Madarakani huwa wapo tayari kuleta propaganda na uchambuzi wa mambo kwa njia za kupotosha, Sidhani kama Serikali itatuingiza kwenye mambo yanayosemwa na Wanasiasa wa Upinzani na Watu wengine.

Hawa DP World naona hata kwa Kagame wapo

Wajinga wote duniani huwa wanaitegemea serikali na kuamini kila kinachosemwa na serikali.
 
Kwani kuna mwana nchi anae jua makubaliano/mkataba/ memorudum, ya muungano ndo maana tunakua na wa bunge kutuahakilisha sio haki ya kila mwana nchi kujua details za mkataba impossible
Eti sio haki ya kila mwananchi.

Watu wajinga kama wewe bado hai kwa sababu mnalindwa na sheria.
 
Hao wanaouipinga huo mkataba wa Bandari hawajawahi kufanya hata ishu yoyote ya Ku clear hata mzigo Bandarini yaani hata kusafiri kwa boti ya Azam kwenda Zanzibar.

Sasa sijui ni kipi kinachowafanya wanapiga kelele kuhusu mkataba wa bandari. Hata kuusoma hawajausoma yaani ni yale maneno ya Viongozi wa Upinzani ambayo sijui kama ni ukweli au ni propaganda.
Cheki jinga lingine hili.
 
Mama Samia kaukuta wizi umeota. Mizizi bandarini kwa miaka, ndiyo anatatuwa tstizo kwa njia za kisasa kabisa.

Mama anaupiga mwingi.
Digital Port haiwezi kupata marafiki wengi miongoni mwa wale waliozoea kufanya kazi kwa njia za kizamani.

Wengi wao ndio hawa wanaojaribu kuwatengenezea mindset mbovu watanzania wakiwaambia kuwa Mwarabu anataka kuinunua nchi yetu! pathetic kabisa.

Yaani Mwarabu asiinunue Somalia, Eritrea na Sudan kwenye utajiri mkubwa wa mafuta na madini aje all the way hapa TZ eti ainunue nchi yetu!.

Na wapo baadhi wanaamini kabisa katika hizi dhana potofu za kufikirika!. Rais SSH amekuja na njia za kisayansi sana za kupambana na wezi wa bandarini tena kisayansi.
 
Cheki jinga lingine hili.
😂😂😂😂
Unajua nini kuhusu huo mkataba?
Tulia Kijana Wewe endelea kulalamika kufuata mkumbo wa Wapinzani. Kwa kifupi inatakiwa Serikali iweke wazi na Wananchi wamambiwe sio kelele za Wapinzani wa Serikali tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua nini kuhusu huo mkataba?
Tulia Kijana Wewe endelea kulalamika kufuata mkumbo wa Wapinzani. Kwa kifupi inatakiwa Serikali iweke wazi na Wananchi wamambiwe sio kelele za Wapinzani wa Serikali tu.
Ukiona umeanza kuitegemea serikali ikupe taarifa sahihi ujue upo kwenye wrong direction.

Serikali inaundwa na kundi la wahuni ambao wapo kwa ajili ya interest za matumbo yao na uhakika wa kwenda vyooni wa watoto wao, sio kusaini mikataba ya kukusaidia wewe mwananchi unayeitetea.
 
Dah! Safi sana hayo ndo tunayoyataka utendaji uwe wa teknolojia ya Hali ya juu kiasi hiki, syo Mara bomba la mafuta limeenda kwa Nani sjui, Mara mifumo ya Kodi haisoman na bandari Mara makontena yametumbukia baharini....nk..... HONGERA SANA kwa kutuletea tek. Mpya hakika uchumi utapaa na mwananchi atapunguziwa mzigo
 
Digital Port haiwezi kupata marafiki wengi miongoni mwa wale waliozoea kufanya kazi kwa njia za kizamani.

Wengi wao ndio hawa wanaojaribu kuwatengenezea mindset mbovu watanzania wakiwaambia kuwa Mwarabu anataka kuinunua nchi yetu! pathetic kabisa.

Yaani Mwarabu asiinunue Somalia, Eritrea na Sudan kwenye utajiri mkubwa wa mafuta na madini aje all the way hapa TZ eti ainunue nchi yetu!.

Na wapo baadhi wanaamini kabisa katika hizi dhana potofu za kufikirika!. Rais SSH amekuja na njia za kisayansi sana za kupambana na wezi wa bandarini tena kisayansi.
Inawezekana kweli, hivi hakuna watu wanasamehewa Kodi au kupunguziwa bandarini? Maana tunaweza kuwa tunapiga kelele bandari inauzwa kumbe tunasaidia kutetea wanufaika.
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Wasiwekeze kwanza. Mbona bado wananchi hatujakubaliana wala ile mikataba ya project kwa project hatujawekeana mkataba hsta mmoja. Au ndio hii document inatushangaza kwa masharti yake wamesaini kina mbarawa wao ndio wanajua wameshapewa bandari zetu? Uongo wao mbona tayari tutakua tumehakikisha.
Waarabu wao wameshajua bandari zetu ni zao😂🤣
 
sio habari mpya hii bi tozo ashasikika akilisema hili kwamba atakuwa anajua kinachoendelea bandarini akiwa chamwino
 
Back
Top Bottom