MC Pilipili amlilia mkewe kwenye kipindi cha Zamaradi | Ni sahihi Mwanaume kumlilia mkeo hadharani?

Si ndio huyu aliwahi kumlilia na gf wake flani hivi? Jamaa sio kabisa yaani
 
Ajiandae kulia atakapoumizwa tena. Emotional tu hizo. Aliacha kulia wakiwa chumbani na kumaliza anakuja kulia mbele ya kamera.

Kweli kila mtu ana % za ukichaa ukitakuamini mwangalie anapikula
 
Kumbe Mwanamke akikutamkia tu wazi wazi kuwa anakupenda basi Mwanaume tena kichwa cha familia unapaswa uangushe machozi, kweli?

Sifa mojawapo ya binadamu yeyote hubadilika wakati wowote kitabia kulingana na mazingira, Je huyo Mwanamke akimbadilikia MC Hoho?

Unapingana hata na Mungu aliyekuumba na kukuasa uwe na kiasi kwa kila jambo, unajua faida zake ni kiasi gani kuliko hasara zake hadi uruhusu moyo kimaamuzi badala ya akili(kichwa/ubongo) katika mapenzi/ndoa?

Binadamu yupi hapitii changamoto kimaisha ambazo zaweza kuwa ngumu kuliko hata alizopitia huyo Mc Hoho?

Mungu mwenyewe ni jasiri ndiyomaana katuumba kwa mfano wake, unaakisi vipi mfano wake ikiwa wewe kichwa cha familia ni lia lia?

Mc Hoho ni dhaifu na zaidi ya hata udhaifu ingawa kila Binadamu ana mapungufu lakini Jamaa kaudhalilisha sana uanaume.
 
Acha uwongo we Nabii feki wa hapa Jamii Forum.

Imeandikwa wapi kuwa ni lazima umtegemee Mwanadamu 100%?

Mungu ndiye wa kumlilia sababu ndiye ashikiliaye kila pumzi ya Binadamu.

Usihalalishe ujinga kwa kigezo cha kusaidiwa na Binadamu anayepita na wakati tu bali jitegemeze kwa Mungu asiyedhuriwa na muda yani yeye ni Alfa na Omega(mwanzo & mwisho) sababu Watu wanaweza kukutenga na kukukimbia ukiwa katika shida lakini kamwe Mungu hawezi.

 
☺
 
Tafuta kumjua Mungu , soma au fanya kazi kwa bidii, heshimu watu wote, jifunze kuwa na tabia njema itakayo kuwezesha kuishi popote na mtu au watu wowote . Hapa sasa umenena vyema.

AYUBU 22:21.

"Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia."
 
Big up Mc Pilipili huo ndy uanaume na ndy mapenzi issue inakuja je bi dada anampenda jamaa kama yy anavyopendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…