TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Ni kwel wakuu nimepata picha dah its sad aseeh
 

Mtu asije akakudanganya neno wasamehe na kuwaombea Baraka ndio laana yenyewe,unapo muombea adui yako Baraka,Mungu hugeuza baraka kuwa laana ndiyo maana hata Yuda mwenyewe alichukua kitanzi akajitundika pamoja na kuombewa msamaha na Yesu.
 
Mchungaji mtikila amapata ajali ya gari na kufariki dunia
 
...ajuae bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salama Leo tunampa pole....
 
Nadhani sasa mmejione umafya wa LOWASSA

Lowassa Anahusikaje Hapa? Endeeleni Kumsema Mpakwa Mafuta Wa Mungu. Mungu Atamnyoosha Kila Mmoja Aliye Msema Mtumishi wake Lowassa. Mtavuna Mlichopanda Mpaka Mwondoke Madarakani. Mungu Yupo Upande wa Lowassa.
 
Tivii yenu so leo mnakesha huko msibani ama? Wacha edo aje kutoa pole
 


Huyu ndiyo Mgombea wa Urais aliyetabiliwa atafariki? Au tusubiri mwingine? RIP Mch. Mtikila!
 
Afya ya Lowasa sasa itakuwa imara sana! Amepona kabisa.
 
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa

Kwa hiyo kumbe Lowasa siyo mgonjwa? Kwa hiyo wewe unataka tumpeleke ikulu ili akapate nafuu ya kujitibia kwa fedha zetu na mfululizo wa ruhusa za mapumziko ya ugonjwa? Hivi unajua kuwa ikulu kulala ni bahati na kazi ni nyingi kuliko muda? Kama Mtikila atakuwa amekufa ujue hajafa na hoja hii. Swali liko pale pale. Ikulu siyo chaka la wagonjwa. Bora aende mtu mzima ugonjwa uanzie akiwa tayari ikulu na siyo aende nao eti tunamsindikiza sisi watanzania.
 
Kweli mch.amefariki gari imeacha njia na kupinduka watu 3 wamejeruiwa na 1ambaye ni mch. Mtikila amefarik
Rip mch.
Source:ITV
 

Kasome biblia vizuri usibwabwaje bwabwaje tu hapa.
Mwisho wa amri zake Mungu anasema....Mimi ni Bwana Mungu wako, Ni Mungu mwenye hasira. Nami huwalipiza visasi Maelfu kwa maelfu.....Na hata kizazi cha tatu na cha nne......
 

kufo ndio nini jifunze kuandika.
 
R I P mchungaji Christopher mtikila...

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..
 
===>Haya mambo yenu ya kuambiana sijui nani mgonjwa anaumwa,naona sasa yaishe,hakuna anaeijua kesho yake,tuwe na adabu na watu!
 
Aisee Nenda Mtikila... NENDA KALALE SALAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…