Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.
Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.
Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???
Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.
Queen Esther
Nadhani sasa mmejione umafya wa LOWASSA
Wakuu,
Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.
=====
UPDATE:
JamiiForums imeongea na RPC na amethibitisha kutokea kwa tukio hili na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema amefariki saa 12 kasorobo asubuhi kijiji cha Msolwa, Chalinze.
Afya ya Lowasa sasa itakuwa imara sana! Amepona kabisa.Duh. Kuna nini ? Mkangara alisema Lowasa ni mgonjwa Akafa yeye,Mtikila alisema Lowasa ni mgonjwa Amekufa yeye, bado wengine kama 3 wanaomsakama lowasa kwa ugonjwa na ni bahati Mtikila aliondolewa kwenye kinyang,anyilo cha Urais muda huu uchaguzi ungehairishwa hadi January 2016
Umeona eeeh! CHADEMA na Lowasa wana akili za aina moja. Wanadhani kifo cha Mtikila ndo watashinda uchaguzi. Kumbe laana inawaandamaYaliyotegemewa, sasa yametimia. R.I.P Mchungaji.
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa
Kama ni kweli maanake unachaguzi nap so uyasogezwa mbele sasa huyu so alikuwa mgombea uraisi?
Chinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.
Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.
Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???
Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.
Queen Esther
Lazima chadema mchunguzwe tena kwa kufo hiki na cha Chacha Wangwe. Huwezi kufurahia kifo cha binadamu kiasi cha kumpongeza eti Mungu wa Ukawa! Wachunguzi wa assassinations waitwe kubaini hii ajali inaweza kuwa ya kutayarishwa na nyie mlioupokea msiba huu kwa furaha.
Nadhani ndo huyu ijapokuwa aliwekewa mizengweHuyu ndiyo Mgombea wa Urais aliyetabiliwa atafariki? Au tusubiri mwingine? RIP Mch. Mtikila!
===>Haya mambo yenu ya kuambiana sijui nani mgonjwa anaumwa,naona sasa yaishe,hakuna anaeijua kesho yake,tuwe na adabu na watu!Wakuu,